Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ajabu sana hii sheikh!Na ameongeza kusema,kama wala kitimoto kharamu basi ule iliyonona.Masauni anapinga ulaji wa kitimoto huku akila watu binadamu wenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu sana hii sheikh!Na ameongeza kusema,kama wala kitimoto kharamu basi ule iliyonona.Masauni anapinga ulaji wa kitimoto huku akila watu binadamu wenzie
Hauko SahihiKabla sijakujibu,pitia tena kuna sehemu nimeuliza hapo..... baada ya Sirro kuondolewa je kuna mabadiliko yoyote chanya kwenye mwenendo wa polisi ?....jibu lake litakusaidia walau
pa kuanzia...
na vile vile KULAUMU inasaidia nini? Kwani mmeshalaumu wangapi na Mara ngapi?
Nikisema wapinzanI wenye nafasi za juu kwenye nchi hii ni sehemu ya TATIZO sitokuwa SAHIHI?
Kabla sijakujibu,pitia tena kuna sehemu nimeuliza hapo..... baada ya Sirro kuondolewa je kuna mabadiliko yoyote chanya kwenye mwenendo wa polisi ?....jibu lake litakusaidia walau
pa kuanzia...
na vile vile KULAUMU inasaidia nini? Kwani mmeshalaumu wangapi na Mara ngapi?
Nikisema wapinzanI wenye nafasi za juu kwenye nchi hii ni sehemu ya TATIZO sitokuwa SAHIHI?
Kwa kiongozi anayefoji mambo ili apewe kipaumbele hafai kuteuliwa popote, Na hasa kwenye Wizara nyeti kama ya Mambo ya Ndani, Hii yaweza kuwa sababu ya Hamad Masauni kushindwa Kuongoza wizara hii, Uwezo wake ni mdogo mno.
Ni kuiachia Mambo yake tu lo
Kashfa ya kufoji umri,elimu n.k huwezi kuvitenganisha na watumishi wa ummaIli aendelee kuwa Mwenyekiti wa Uvccm hakutakiwa kuzidi umri wa Miaka 30 kwa utaratibu wa wakati ule (Niko tayari kusahihishwa), labda Wabadili kipindi hiki.
Baada ya kuona Umri unamtupa Mkono Bwana Masauni aliamua kufake umri kwa kuboresha taarifa za tarehe ya kuzaliwa kwake na kusogeza kutoka 1973 hadi 1979 (Hapa napo niko tayari kusahihishwa), Baada ya Mahasimu wake kujua hili wakamchoma, Akaondolewa kwenye kinyang'anyiro na kutimuliwa, Akaja kuokolewa na Kikwete kwa kuteuliwa Mbunge wa Viti maalum, Natumaini hakuna aliyesahau kashfa ile na Kama Masauni anabisha ajitokeze JF kubisha, Ushahidi kuhusu jambo hili umejaa hapa hapa JF.
Kwa kiongozi anayefoji mambo ili apewe kipaumbele hafai kuteuliwa popote, Na hasa kwenye Wizara nyeti kama ya Mambo ya Ndani, Hii yaweza kuwa sababu ya Hamad Masauni kushindwa Kuongoza wizara hii, Uwezo wake ni mdogo mno.
Soma Pia: Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu
Mwl Nyerere aliwahi kusema hivi, Nanukuu, "Kama unampenda mtu kwa sababu ya sura yake basi nenda kanywe naye Chai, Mwisho wa kunukuu.
Ya huyu imevujaKashfa ya kufoji umri,elimu n.k huwezi kuvitenganisha na watumishi wa umma
au hata kungekuwa na igp kutoka tpdfKatika wizara zinazochezewaga ni hii ya mambo ya ndani I think kuna haja waiunganishe na ulinzi halafu kuwe na manaibu waziri wawili na wakurugenzi na makatibu wawili ili iwe na uongozi madhubuti hawa usalqma wa taifa na pilisi wamekuwa tatizo wanatupiana mpira kuna haja ya kuwaongoza chini ya wizara moja inayosimamia ulizni ili wapate nidhamu kiasi. Masauni its tim3.to go amekaa hii wizara toka 2015 akiwa Naibu mpaka 2022 akapewa uwaziri kamili. Wizara ina malalamiko makubwa mno na hayapati majibu yanazikwa tu. Hatoshelezi kwakweli.
😆😆😆😆😆watanzania ni wasahaulifu sana. huyu Masauni, hakupaswa kuwa kiongozi hata wa mtaa sawa sawa na yule "mkolomije"
Mbona wengi wamefoji hadi vyeti ila leo wakuu wa mikoa n.kIli aendelee kuwa Mwenyekiti wa Uvccm hakutakiwa kuzidi umri wa Miaka 30 kwa utaratibu wa wakati ule (Niko tayari kusahihishwa), labda Wabadili kipindi hiki.