Hamad Masauni alifukuzwa UVCCM kwa kufoji Umri, Ni kejeli kwa Nchi kumteua kuwa Waziri

Hauko Sahihi
 



..labda ungefafanua kwanini unaamini viongozi wa upinzani ni tatizo ktk muktadha mzima wa utekaji, utesaji, na mauaji.
 
Kwa kiongozi anayefoji mambo ili apewe kipaumbele hafai kuteuliwa popote, Na hasa kwenye Wizara nyeti kama ya Mambo ya Ndani, Hii yaweza kuwa sababu ya Hamad Masauni kushindwa Kuongoza wizara hii, Uwezo wake ni mdogo mno.

Nani ccm hajafoji chochote?
Nani ccm ana uwezo mkubwa?
 
Katika wizara zinazochezewaga ni hii ya mambo ya ndani I think kuna haja waiunganishe na ulinzi halafu kuwe na manaibu waziri wawili na wakurugenzi na makatibu wawili ili iwe na uongozi madhubuti hawa usalqma wa taifa na pilisi wamekuwa tatizo wanatupiana mpira kuna haja ya kuwaongoza chini ya wizara moja inayosimamia ulizni ili wapate nidhamu kiasi. Masauni its tim3.to go amekaa hii wizara toka 2015 akiwa Naibu mpaka 2022 akapewa uwaziri kamili. Wizara ina malalamiko makubwa mno na hayapati majibu yanazikwa tu. Hatoshelezi kwakweli.
 
Kashfa ya kufoji umri,elimu n.k huwezi kuvitenganisha na watumishi wa umma
 
watanzania ni wasahaulifu sana. huyu Masauni, hakupaswa kuwa kiongozi hata wa mtaa sawa sawa na yule "mkolomije"
 
au hata kungekuwa na igp kutoka tpdf
 
Mbona wengi wamefoji hadi vyeti ila leo wakuu wa mikoa n.k
Mwache masauni aishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…