Hamad Rashid na Waziri Mkuu Kulikoni????????

Hamad Rashid na Waziri Mkuu Kulikoni????????

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Posts
4,191
Reaction score
677
hamad rashid1.jpg

wanazungumzia nn, au ndio ile mipango ya kuibana Chadema bungeni?


hamad rashid.JPG

naona hapa anamkumbusha zaidi kuhusu bwana mdogo wa Mbowe?
 
sasa unataka kutwambia kuwa anapewa cha kwenda kusema kwenye media?

yaani anachukua maelekezo kwa bosi wake?
 
Hapo anaambiwa baada ya kufanikiwa kutusambaratishia cuf sasa tunakukabidhi na chadema.halafu ye anamjibu wale inabidi zitumike mbinu za kiintelijensia vinginevyo wajanja sana wale.
 
Mmmh hiyo suruali ya Pinda imekaa vipi kwenye picha ya kwanza.
 
Mkuu, Mtu wa Pwani,
Unataka ufurahi kwa kuona wachadema wanafyatua makombora?
Subiri kidogo tu, utasikia mshindo mkuu!!Watashuka kwa hasira hapa...tafuta bisi zako na coke yako, uangalie sinema.....
 
Back
Top Bottom