HAMAS kuachia Warusi, hivi mnawashabikia huwa mnatumia vigezo gani, mjue kuna hadi Watanzania

Hakuna anae shabikia ila ukweli lazima usemwe na uwekwe wazi.
Wapalestina ni watu wanaonyanyasika na kuwekewa apartheid kwenye ardhi yao
sasa wewe mkenya akili kisoda sijui kwa nini hauelewi?
Sio haelewi....its either kaamua kujitoa akili...au ana chuki binafsi na Uislamu....maana taarifa zipo nyngi duniani za waislamu kufanyiwa madhila ila huwa haleti habari hmu lakini akisikia ugomvi tu unahusisha Muslims na mtu mwingine utasikia anawaita magaidi kabisa... as if ukiwa Muislamu tu basi wa automatically ni gaidi
 
sio wewe tuu ulioshangaa waislamu kuishabikia HAMAS bali hata sisi wapenda amani duniani. Hamas kaanza uchojozi. Hamas kaua waisrael 1400 kwa siku moja wazee, watoto na yatima. sasa waislamu walitaka muisrael afanye kitu gani ili hali wananchi wake wameuwawa kikatilijaman? i utu na uhai wa wayahudi hauna tofauti na ule wa waarabuwengine m,asharili ya kati.

Mnavyo andika ni kama vile Hamas ni Malawi imeichokoza Tz kwa kuivamia na kuwapiga na kuteka waTz...... It is not like that my friend

Wapalestina wapo pale kwa miaka zaidi ya 600, ni kwao lakini leo wanaishi kwenye gereza linaitwa Gaza kimabavu na utawala wa Israel kisa kuna kitabu cha imani kinasema eti aridhi ile walipewa na Mungu.. UPUUZI
 
Sio haelewi....its either kaamua kujitoa akili...au ana chuki binafsi na Uislamu....maana taarifa zipo nyngi duniani za waislamu kufanyiwa madhila ila huwa haleti habari hmu lakini akisikia ugomvi tu unahusisha Muslims na mtu mwingine utasikia anawaita magaidi kabisa... as if ukiwa Muislamu tu basi wa automatically ni gaidi
Halafu sisi waafrika ilitakiwa tuzingatie zaidi vita inayoendelea hapo Sudan, vuguvugu la blue nile kutaka kujitenga na Migogoro ya Darful.

Tukikumbuka kongo ya mashariki, kaskazini mwa msumbiji na waasi wa kabinda bila kuisahau jamhuri ya afrika ya kati ila kutwa tunawaza vita zisizo tuhusu au sisi ni subhuman?
 
Ni watu wangapi watakaofufuliwa waishi mbinguni?​

Biblia inaonyesha kwamba watu 144,000 watafufuliwa waishi mbinguni. (Ufunuo 7:4)
Mtoa maada umo ktk kundi hili?

Hii inahusianaje, au nawe umeliwa denda na huyu babu MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245
 
Israel na wao waachie mateka wa kipalestine waliowafunga huko kwao sio unakzi ya kujaza seva tu hapa

Kwa hiyo Watanzania mliowateka wanahusiana vipi na ugomvi wa Wapalestina.
 
Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.
=================

The Palestinian Hamas movement has received from the Russian Foreign Ministry a list of Russians who may be among the hostages, is looking for them and is ready to release them, Musa Abu Marzuk, a member of the Politburo and the head of Hamas's foreign relations department, told RIA Novosti.
"
“From the Russian side, through the Ministry of Foreign Affairs, we received a list of citizens who have dual citizenship. We are very attentive to this list and will process it carefully, because we look at Russia as our closest friend,” he said.
Wewe mkenya inamaana hujui kuwa hao wapalestina nchi yao inakaliwa kwa mabavu na israili tokea mwaka 1948 mpaka leo kweli ujinga ni mzigo tena mzito pole sana
 
Wewe mbona kutwa kuwashabikia Waisraeli waliomsulubu na kumuwamba msalabani Mungu wako Yesu? Mayahudi ambao hawamtambui Mungu wako na wanaokalia kwa mabavu ardhi zisizo zao? Israel ni dola haramu iliyoanzishwa kwa kupora ardhi za wengine kwahiyo kila mpenda haki anapaswa kuwakemea na kuwalaani madhalimu na wauaji hao waliojificha kwenye kivuli cha eti taifa teule.
 
Watanzania waliotekwa wanahusiana vipi na huo upuzi wenu, tataizo mazombi ya kidini hamna uzalendo kabisa, yaani upo radhi ndugu zako Watanganyika wauawe kule kisa unatetea dini ya muarabu.
 
Back
Top Bottom