arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Sio haelewi....its either kaamua kujitoa akili...au ana chuki binafsi na Uislamu....maana taarifa zipo nyngi duniani za waislamu kufanyiwa madhila ila huwa haleti habari hmu lakini akisikia ugomvi tu unahusisha Muslims na mtu mwingine utasikia anawaita magaidi kabisa... as if ukiwa Muislamu tu basi wa automatically ni gaidiHakuna anae shabikia ila ukweli lazima usemwe na uwekwe wazi.
Wapalestina ni watu wanaonyanyasika na kuwekewa apartheid kwenye ardhi yao
sasa wewe mkenya akili kisoda sijui kwa nini hauelewi?
sio wewe tuu ulioshangaa waislamu kuishabikia HAMAS bali hata sisi wapenda amani duniani. Hamas kaanza uchojozi. Hamas kaua waisrael 1400 kwa siku moja wazee, watoto na yatima. sasa waislamu walitaka muisrael afanye kitu gani ili hali wananchi wake wameuwawa kikatilijaman? i utu na uhai wa wayahudi hauna tofauti na ule wa waarabuwengine m,asharili ya kati.
Halafu sisi waafrika ilitakiwa tuzingatie zaidi vita inayoendelea hapo Sudan, vuguvugu la blue nile kutaka kujitenga na Migogoro ya Darful.Sio haelewi....its either kaamua kujitoa akili...au ana chuki binafsi na Uislamu....maana taarifa zipo nyngi duniani za waislamu kufanyiwa madhila ila huwa haleti habari hmu lakini akisikia ugomvi tu unahusisha Muslims na mtu mwingine utasikia anawaita magaidi kabisa... as if ukiwa Muislamu tu basi wa automatically ni gaidi
Ni watu wangapi watakaofufuliwa waishi mbinguni?
Biblia inaonyesha kwamba watu 144,000 watafufuliwa waishi mbinguni. (Ufunuo 7:4)
Mtoa maada umo ktk kundi hili?
wafilisti no circumcisionBalozi Wetu akiwasiliana na Viongozi wa Hamas hao wanaachiwa fasta.
View: https://twitter.com/HistoriaYetu/status/1711723439592030704?t=4Z6csKcfCin0V_4y9pWWJQ&s=19
Balozi Wetu amezubaa tuu ila sisi ni pro Palestine kitambo sana.
View: https://twitter.com/HistoriaYetu/status/1711708281310183613?t=s9-gGIleAdKknseqglxwog&s=19
Wewe mkenya inamaana hujui kuwa hao wapalestina nchi yao inakaliwa kwa mabavu na israili tokea mwaka 1948 mpaka leo kweli ujinga ni mzigo tena mzito pole sanaMnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.
=================Mystery shrouds case of missing Tanzanians after Hamas ambush
The families of the missing Tanzanians continue to turn only to the government for the last word on their loved ones.www.thecitizen.co.tz
The Palestinian Hamas movement has received from the Russian Foreign Ministry a list of Russians who may be among the hostages, is looking for them and is ready to release them, Musa Abu Marzuk, a member of the Politburo and the head of Hamas's foreign relations department, told RIA Novosti.
"
“From the Russian side, through the Ministry of Foreign Affairs, we received a list of citizens who have dual citizenship. We are very attentive to this list and will process it carefully, because we look at Russia as our closest friend,” he said.
Tanzanian students missing in Israel following Hamas attack | Africanews
Ambassador Kallua expressed deep concern over the safety of two Tanzanian students believed to be in the affected area of south Israel. He disclosed, "We have learned that there are two students unaccounted for in the southern region of Israel, where the security situation remains precarious.www.africanews.com
Wewe mbona kutwa kuwashabikia Waisraeli waliomsulubu na kumuwamba msalabani Mungu wako Yesu? Mayahudi ambao hawamtambui Mungu wako na wanaokalia kwa mabavu ardhi zisizo zao? Israel ni dola haramu iliyoanzishwa kwa kupora ardhi za wengine kwahiyo kila mpenda haki anapaswa kuwakemea na kuwalaani madhalimu na wauaji hao waliojificha kwenye kivuli cha eti taifa teule.Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.
=================Mystery shrouds case of missing Tanzanians after Hamas ambush
The families of the missing Tanzanians continue to turn only to the government for the last word on their loved ones.www.thecitizen.co.tz
The Palestinian Hamas movement has received from the Russian Foreign Ministry a list of Russians who may be among the hostages, is looking for them and is ready to release them, Musa Abu Marzuk, a member of the Politburo and the head of Hamas's foreign relations department, told RIA Novosti.
"
“From the Russian side, through the Ministry of Foreign Affairs, we received a list of citizens who have dual citizenship. We are very attentive to this list and will process it carefully, because we look at Russia as our closest friend,” he said.
Tanzanian students missing in Israel following Hamas attack | Africanews
Ambassador Kallua expressed deep concern over the safety of two Tanzanian students believed to be in the affected area of south Israel. He disclosed, "We have learned that there are two students unaccounted for in the southern region of Israel, where the security situation remains precarious.www.africanews.com
Wewe mkenya inamaana hujui kuwa hao wapalestina nchi yao inakaliwa kwa mabavu na israili tokea mwaka 1948 mpaka leo kweli ujinga ni mzigo tena mzito pole sana
Wewe mbona kutwa kuwashabikia Waisraeli waliomsulubu na kumuwamba msalabani Mungu wako Yesu? Mayahudi ambao hawamtambui Mungu wako na wanaokalia kwa mabavu ardhi zisizo zao? Israel ni dola haramu iliyoanzishwa kwa kupora ardhi za wengine kwahiyo kila mpenda haki anapaswa kuwakemea na kuwalaani madhalimu na wauaji hao waliojificha kwenye kivuli cha eti taifa teule.