Tetesi: Hamas kukutana kuchagua mrithi wa Kiongozi wao Mkuu aliyeuawa, wanaotajwa Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

Khaled mashaal si alishakufa siku nyingi na alikuwa ndie kiongoz kabla ya Haniye au majina yanafanana
 
Israel haiwezi kushinda hili jambo kijeshi, Netanyahu wasipomfunga breki ataitumbukiza Mashariki ya kati katika vita vibaya sana
Bwana hakuna vita msitake kutia chumvi maneno, sasa ni nani yuko tayari kupigana vita na Israel hapo mashariki ya kati..!? Jibu ni hamna maanake hata Iran tu hana mpango wa kupigana vita na Israel.
 
Piga mzayuni huyoo na upinde wake,,,fita ni fita mraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…