Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…

βš‘οΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ NDANI TU: Rais wa Marekani Donald Trump:

Wao [Misri na Yordani] wana mpango tofauti, Mpango Wangu kuhusu Gaza ni bora zaidi, lakini siulazimishi na nitaupendekeza tu.

Nilishangaa kwamba Misri na Jordan hazikukaribisha mpango niliopendekeza kuhusu Gaza ingawa tunawapa mabilioni ya dola kila mwaka.

Ukanda wa Gaza una eneo kubwa, na ninashangaa kwa nini Israeli waliiacha


View: https://x.com/suppressednws/status/1892985641522340247?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Harakati ya Hamas katika taarifa kwa vyombo vya habari:

β­• "Tumefahamishwa na wapatanishi kuhusu madai ya Israel kwamba mwili wa mfungwa wa Israel Shiri Bibas haulingani na uchunguzi wa DNA, na tutachunguza madai haya kwa umakini mkubwa, na tutatangaza matokeo kwa uwazi."

β­• "Inawezekana hitilafu au muingiliano katika miili imetokea, ambayo inaweza kuwa ni matokeo ya uvamizi wa Israel kulenga na kulipua kwa mabomu mahali ambapo familia hiyo ilikuwa na Wapalestina wengine."

β­• "Tutawajulisha wasuluhishi matokeo ya uchunguzi na uchunguzi kwa upande wetu, na wakati huo huo tunatoa wito wa kurejeshwa kwa chombo ambacho Israel inadai kuwa ni ya mwanamke wa Kipalestina aliyeuawa wakati wa mauaji ya kimbari."
 
Ndugu zako walinyonga vitoto vidogo baada ya kuona watagundulika ikabidi waweke mwili wa mwanamke aliyeuawa na bomu ambaye hata hakuwa muisrael ili kujustify uongo wao.

Inashangaza wapigania uhuru wnanyonga kitoto cha miezi 10 kwa mikono yao. Nilikuwa nakushangaa wewe na Wababu ila kwa tukio waliyofanya wapigania uhuru wenu basi nyie siyo watu wa kawaida
 
Wana Bodi, hatimate Ritz amekiri rasmi kuwa yeye ni Islamist akifuata maelekezo ya muslim brotherhood
 
Uyu puto ulokole wake ndio kikwazo kwenye mipango yake aibu ana GAZA kwasasa Dunia nzima inawaonea uruma lkn shida ipo tu Wenye mielekeo ya kilokole!!!

ndio Wamekwama kufaam Nani wakusaidiwa kwasasa!! Lkn PUTO kama PUTO Netanyahu wote Wanatafuta Kitonga!!!

Ukuu wa Marekani ulishakwisha kiitambo! awataki kwenda IRAN kwa mfadhili mkuu!!!!! mbona Waisrael kibao Wamekufa wengine miguuu imepotea Mikono macho Uchumi!!!

Sio Waisrael tu Wamo umo Wamarekani Wengi tu wa UK lkn mbona Atuoni Kupigwa IRAN uyu PUTO mungu wake anatafuta kitonga!!!!
 
Waambiee walokole wenzio Wakuelewe mwenzao kidume cha YESUUu kwaiyo Na Wapalestina erufu 60000 wakiwemo watoto Vichanga Wanawake Wazee Wababa Wote awa Waliuwawa na HAMAS ?? ISRAEL inasingiziwa tu Taifa Teule la mjomba Jako!!!!?????
 
Umebaki peke yako myahudi mweusi wa Uyole kupingaπŸ˜‚

Tel Aviv wanaandama wewe punguani unapinga.
Umebaki kujifariji hayo unayoona wewe si maandamano kama unavyodhani
 
Endelea kulalamika na kuita watu Majini maana kulalamika ndiyo asili ya waarabu!!
 
Umebaki kujifariji hayo unayoona wewe si maandamano kama unavyodhani
β€œAn incredible woman showing what true humanity looks like. Thank you! πŸ™ Free Palestine πŸ‡΅πŸ‡Έβ€
 
Wana Bodi, hatimate Ritz amekiri rasmi kuwa yeye ni Islamist akifuata maelekezo ya muslim brotherhood
Wewe unaweza kuwaita Waislam upendavyo majina tofauti watukane wachukue. Utakiwa mwehu unachukia watu Bilioni 2πŸ˜€
 
Aliyeanzisha fujo ni nani? Mnaenda kuteka na kunyonga vitoto vya miezi 10 mnategemea nini? Ujinga wenu ndo ulipelekea hao 60,000 kuuliwa.

Mnajiita wapigania uhuru mnaenda kuteka vitoto vya miezi 10 na kuvinyonga eti wapigania uhuru? Mkiambiwa ukweli mnaita watu walokole. Oneni aibu, hao ndugu zenu wa imani wahuni ndo maana hakuna nchi inawapenda
 
Wewe umri wako bado mdogo hujui lolote kuhusu Palestina na Israel, eti aliyeanzisha fujo ni nani unauliza akili za kitoto fujo zimeanzishwa na Israel toka mwaka 1948 nadhani hata babu yako hajazaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…