Milokole yetu imeumia sana tukiwaambia wapalestina sio Magaid mimacho inawatoka kukubishia!!!!!Mwanajeshi wa Israel aliyekuwa akishikiliwa mateka huko Gaza, alimbusu paji la uso mpiganaji wa Hamas baada ya kuachiliwa.
View: https://x.com/currentreport1/status/1893256729791492293?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Iyo Vitu HATARI sana YASIN 105 weka mbali na IDF iyo kitu imewapelakea KUFA kibaoooo sijui imetoka wapi hiii kitu!!!!!
Kwasasa ULAYA wananchi wengi Wameamua kwa that Kabisa kuwaunga mkono Wapalestina
Vikosi vya Al-Qassam vilifichua mateka wawili wa Israel Guy Gilboa Dalal na Evyatar David ambao bado hawajaachiliwa. Walishuhudia kuachiliwa kwa mateka wengine na kusema "Netanyahu, inatosha, unatumaliza, unatuua ... shinikizo la kijeshi sio suluhisho"Iyo Vitu HATARI sana YASIN 105 weka mbali na IDF iyo kitu imewapelakea KUFA kibaoooo sijui imetoka wapi hiii kitu!!!!!