Hamas: Ndani ya mfumo wa kubadilishana wafungwa, Brigedi za Al-Qassam ziliamua kuwaachilia huru wanajeshi wa kike 4 kesho Jumamosi, 01-25-2025

Records claim that this is the worst failure in the country's (Israel) history. still a couple of higher officials who bear responsibility not only for the failure to prevent the attack but for the longstanding policy of trying to contain HAMAS in Gaza, nakazia not only for the failure to prevent the attack but for his longstanding policy of trying to contain HAMAS in Gaza. PM Netanyahu fired his popular defense minister citing difference over the conduct of the war replacing him with a loyal gallant. pia kuna jinga linaitwa Ronen Bar mkuu wa the shin bet internal security agency ameshindwa kabisa jukumu lake la kukusanya taarifa za kiintelligence on palestinians, jukumu ambalo alipewa tangu 2021 huyu naye Netanyahu atamlima kichwa unless ajiuluzu mwenyewe
 
Makabidhiano ya wanajeshi hao wanne wa kike wa Israel leo yatafanyika katika uwanja wa Palestina katika mji wa Gaza.

Picha inaonyesha eneo la makabidhiano, na video zinanasa idadi kubwa ya wapiganaji kutoka Brigedi za Al-Qassam na Saraya Al-Quds wakiwasili kwenye eneo la tukio.
 
Hao hamas wasipokupa uraia basi watakua na roho mbaya sana kwa jinsi unavyojitoa
 
Utakuwa na akili ndogo sana kama ya panya.

Hamas hawatoki front kupigana kama jeshi bali wamevaa kiraia, wanajifanya waalinu, madajtari au raia wa kawaida, hiyi vita itapiganwaje,
 
Utakuwa na akili ndogo sana kama ya panya.

Hamas hawatoki front kupigana kama jeshi bali wamevaa kiraia, wanajifanya waalinu, madajtari au raia wa kawaida, hiyi vita itapiganwaje,
Saa
Utakuwa na akili ndogo sana kama ya panya.

Hamas hawatoki front kupigana kama jeshi bali wamevaa kiraia, wanajifanya waalinu, madajtari au raia wa kawaida, hiyi vita itapiganwaje,
huna akili wewe na hao mateka walikuwa wapi wakati Gaza yote ilikuwa chini ya Israel.
 
Israel hawaamini macho yao, hawakudhani kama hao mateka wataletwa kweli na zaidi wakiwa hai na afya njema kama walivyoonekana.

Nimefuatilia tukio zima moja kwa moja, bado naendelea kujiuliza walifichwa vipi? Wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…