Hamas: Ndani ya mfumo wa kubadilishana wafungwa, Brigedi za Al-Qassam ziliamua kuwaachilia huru wanajeshi wa kike 4 kesho Jumamosi, 01-25-2025

Hamas: Ndani ya mfumo wa kubadilishana wafungwa, Brigedi za Al-Qassam ziliamua kuwaachilia huru wanajeshi wa kike 4 kesho Jumamosi, 01-25-2025

Vikosi vya Al-Qassam viliwakabidhi wanajeshi wanne wa kike wa Israel kwa Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu kama sehemu ya makubaliano ya pili ya kubadilishana wafungwa chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. Maandalizi pia yanaendelea kuwaachilia wafungwa 200 wa Kipalestina.
 
Bado wanawashwa hawa bakozi, mtego wa kijinga kabisa hao wanajaa.Ziraili kashajua hii mipanya iko wapi.
Kipigo kinakuja tena.
 
Bado wanawashwa hawa bakozi, mtego wa kijinga kabisa hao wanajaa.Ziraili kashajua hii mipanya iko wapi.
Kipigo kinakuja tena.
Kajifunze kwanza kuandika.
 
Wanapata nini kwenye hizi cease fire? wanabadilishana mateka, kesho hao wana uwawa kwa mabomu. Naona HAMAS bado wako wa kutosha, vita iendelee.
 
Back
Top Bottom