kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 6,402
- 9,733
Yaan kuwa mkuu wa jeshi, usalama, mshauri wa Rais, idara zote nyeti ni njaa sio. Basi mtachapika mpaka kiama.We mkanisa kushika nafasi kwenye idara si kwamba we si njaa wangapi wana nafasi nzuri kwenye makazi yao na walikuwa background zao njaa tupu, na wengine mpaa leo njaa tu.