Hamas, nyinyi ni wana wa mbwa.-Malamud Abbas(Abu Mazen)

We mkanisa kushika nafasi kwenye idara si kwamba we si njaa wangapi wana nafasi nzuri kwenye makazi yao na walikuwa background zao njaa tupu, na wengine mpaa leo njaa tu.
Yaan kuwa mkuu wa jeshi, usalama, mshauri wa Rais, idara zote nyeti ni njaa sio. Basi mtachapika mpaka kiama.
 
Huyo nani anamsikiliza kibaraka wa US.

Hakuna kutoa mateka siwalijidai watawawakoa kwa nguvu wacha wawaokoe kwa nguvu.
Bila kuwarudisha hakutakuwa tena sehemu iliyokuwa inaitwa Parestina. Abbas amesomachezo,bila kuwarudisha, Parestina itakuwa sehemu ya Israel milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…