HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

War propaganda ?...

Hii Vita imeleta mateso makubwa sana kwa raia wasio na hatia isitoshe uhalifu mkubwa wa kivita umetendeka.

War is evil, hii Vita haipaswi kuendelea.
 
mtaandamana sana lakini kichapo Kiko palepale,we huoni Iran ameufyata pamoja na mikwara yote Ile anajua myahudi ni moto mwingine shehe[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]
Waambie Waingeeza, Wamarekani, Canada, mimi nipo zangu Karagwe.
 
Hamas told Washington to stop harboring illusions about who will govern the Gaza Strip after the end of the war with Israel.
 
War propaganda ?...

Hii Vita imeleta mateso makubwa sana kwa raia wasio na hatia isitoshe uhalifu mkubwa wa kivita umetendeka.

War is evil, hii Vita haipaswi kuendelea.

Itaendelea mpaka pale utawala wa kigaidi wa hamas utapofurushwa hapo Gaza.
 

Punguza bangi za uzeeni. Watu wanaoishi mashimoni, wanahesabu Magari saa ngapi. Kwa hichi kipigo Hamas hatarudia Tena.
 
Wenzako wanamalizwa unaleta propaganda. Mkuu wa Hamas wa kutengeneza Silaha kashauawa. Jumamosi Gaza itkuwa huru.
Eti wenzako hahaha wewe Muisrael mweusi wa makete hizi habari mwambie mumeo huyo mkuu wa hamas wa silaha anaitwa nani unaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF.
 
Na usiku huu, Wayemen wamedondosha ndege moja ya kijasusi ya Kimarekani inayoiwasaidi waisrael kutokea baharini.
 
Na usiku huu, Wayemen wamedondosha ndege moja ya kijasusi ya Kimarekani inayoiwasaidi waisrael kutokea baharini.
We kibibi nae tunaongelea jeshi linatoa kichapo huko we unatuletea story za kobazi wala urojo toka makunduchi,
Hao wakirudiwa ni usiku mmoja tu wataomba kabisa waende kuolewa huko US au Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…