HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

Wewe Muisrael mweusi wa Kimara temboni hauna unachokijua zaidi ya ushabiki mandazi.
Endelea kucheza baada ya kuangalia hii video.

Israeli helicopters land in the courtyard of Assuta Hospital in Ashdod, carrying dead and seriously injured soldiers.
hatujui lkn hatuon wakijiachia kwenye Gaza yao
 
Wewe Muisrael mweusi wa Kimara temboni hauna unachokijua zaidi ya ushabiki mandazi.
Endelea kucheza baada ya kuangalia hii video.

Israeli helicopters land in the courtyard of Assuta Hospital in Ashdod, carrying dead and seriously injured soldiers.
Kumbe ngoma drooo.... Sasa kama Israel anapigwa na Hamas kama unavyoripoti... Kwa nini Pro-Palestina mnalilia Ceasefire? Kwa nini mnawapigia magoti Marekani na Israel ziache kuwapiga?

Sasa tusisikie zile kelele za Ceasefire na kuplay Victim Card.

Acha Zichapwe mpaka mwisho... mbabe atajulikana mwishoni
 
Sasa swali ambalo silielewi, pamoja na kubomolewa maghorofa, bado mateka hawajakombolewa?
 
Na myie Waisrael weusi wa Makete na Rombo mnaandamana wapi?
sisi hatuandamani,ila tunawaambia ukweli Gaza ishakuwa ya wayahudi,kama mna uchungu na nyie muandamane kama mlivyoombwa na balozi wa Palestina
 
Yaani hali ya Gaza inavyotia huruma bado tu wafia dini mnawasifia Hamas walioleta matatizo kwa wapalestina?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hali ya Gaza inavyotia huruma bado tu wafia dini mnawasifia Hamas walioleta matatizo kwa wapalestina?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wewe punguani kweli eti Hamas wameleta matatizo kwa Wapalestina Hamas imeanzishwa lini? West Bank kuna Hamas umeanza kufuatiioa huu mgongoro JF. Jinga kabisa wewe zadi ya miaka 50 Wapalestina wanateswa na mabasha zako.
 
sisi hatuandamani,ila tunawaambia ukweli Gaza ishakuwa ya wayahudi,kama mna uchungu na nyie muandamane kama mlivyoombwa na balozi wa Palestina
Huu uharo unaaondika humu ndiyo ukweli.
 
Asante sana Al sahafu wa Hamas. Die hard fan
 
Gaza inarudi chini ya udhibiti wa Israel kama ilivyo west Bank, hakuna Uhuru hapo.
Hujui lolote kuhusu Mashariki ya kati Palestina kuna uhuru gani
 
Wana muda gani wa kuhesabu wanaishi mashimoni kama panya?
Ila kiuhalisia wamefanya resistance ambayo haikutegemewa. Nadhani hawa si Hamas kutakuwa kuna Jeshi jingine zaidi ya Hamas linapigana vita hii na Israel.
 
Asante sana Al sahafu wa Hamas. Die hard fan
Vipi mateka wamekombolewa? Mwezi sasa wanamgambo 10.000 wenye silaha za kienyeji mabasha zako wameshindwa wameishia kuuwa watoto na wanawake na kupiga mabomu hospital na shule.
 
Kwa hyo hamna haja ya CEASEFIRE? Magaidi bana
 
Ila kiuhalisia wamefanya resistance ambayo haikutegemewa. Nadhani hawa si Hamas kutakuwa kuna Jeshi jingine zaidi ya Hamas linapigana vita hii na Israel.
Hivi umejiuliza haya?
1. Pesa za kuchimba na kujenga njia za chini zenye urefu sawa na umbali kutoka dar hadi moshi wametoa wapi pesa ndefu kiasi hicho?

2. Hizi silaha nyingi na za kisasa wanapata wapi?

3. Chakula cha kuwatosha muda mrefu chini ya ardhi wametoa wapi?
 
Vipi mateka wamekombolewa? Mwezi sasa wanamgambo 10.000 wenye silaha za kienyeji mabasha zako wameshindwa wameishia kuuwa watoto na wanawake na kupiga mabomu hospital na shule.
We mji unaenda unazungumzia mateka. Nani kakuambia mateka ni big deal kwa Israel. Wao wanakuambia wanataka miaka 50 ijayo wakumbuke hiki kichapo. Hamas nimarufuku kuwepo hapo. Hamas wenyewe jana wameomba kichapo kipungue wawaachie baadhi ya mateka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…