Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Hoja gani unazo zaidi ya kutetea hao wavamizi!! Acheni ushabiki usio na maana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeangalia vizuri ile clip?! Wazee wa kazi wakiwa kwenye mission ya kuwakomboa wapalestina kwenye makucha ya ugaidiUkweli gani umeutoa! Zaidi kutuwekea clip za kumtafuta mwenye gari!
Jazba za nini shehe embu pata kikombe cha gahawa kwanza tafakari kwanza hawa Hamas walipiga hesabu zao vibaya ukikujua kuanzisha vita jua na kumalizia vita Hamas walianzisha hii vita October 7 na wafia dini walimshukuru Allah amewasaidia kumpiga myahudi sasa kelele za nini wakati Israel anajibu mashambuliziWewe punguani kweli eti Hamas wameleta matatizo kwa Wapalestina Hamas imeanzishwa lini? West Bank kuna Hamas umeanza kufuatiioa huu mgongoro JF. Jinga kabisa wewe zadi ya miaka 50 Wapalestina wanateswa na mabasha zako.
Kwaiyo wewe n Mpalestina mweupe sioWewe Muisrael mweusi wa Kimara temboni hauna unachokijua zaidi ya ushabiki mandazi.
Endelea kucheza baada ya kuangalia hii video.
Israeli helicopters land in the courtyard of Assuta Hospital in Ashdod, carrying dead and seriously injured soldiers.
Msikilize huyu jamaa Mtoto wa mmoja wa makamanda wa hamas.Pamoja na kulipuliwa kanisa na hospital, na wafanyakazi wa UN kuuawa, lakini bado hawaelewi, chuki zewajaa vifuani mwao hata ukiwaambia vipi lakini hawaelewi.
إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
ndugu yng ndugu yng...! Shauli yakoWanaukumbi.
-----
136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance
Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions:
We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation.
Our Mujahideen destroy vehicles and cause many deaths and injuries in the ranks of the enemy.
In the next few minutes, we will show a corner of the greatness of our Mujahideen and their battle with the enemy in the buildings and the hunting of tanks and their destruction.
These actions are only the tip of the iceberg that our mujahids do.
Hamas fighters continue to burn Israeli equipment.
The tactics are still the same, Adidas T-shirt + RPG
Hamas demonstrates fresh footage of the destruction of Israeli armored vehicles in urban areas of Gaza.
View attachment 2808194
Wewe ni mpalestina mweusi wa wapi?Wewe Muisrael mweusi wa Kimara temboni hauna unachokijua zaidi ya ushabiki mandazi.
Endelea kucheza baada ya kuangalia hii video.
Israeli helicopters land in the courtyard of Assuta Hospital in Ashdod, carrying dead and seriously injured soldiers.
Sasa huko ndio wasijaribu hao wa Yemen wanatafuta makubwaNa usiku huu, Wayemen wamedondosha ndege moja ya kijasusi ya Kimarekani inayoiwasaidi waisrael kutokea baharini.
Unabisha nini wewe vitu vipo wazi??narudia Tena propaganda za kitoto mpelekee ayatollah wa Iran [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeona wamalekamatwa mateka wengi sana ,nahdani sasa watatahuriwa wajisalimishe.Hamas lazima wafurushwe na hizo propaganda hazitasaidia chochote,maana jeshi la taifa teule la israel lipo mjini Gaza kuendelea kufanya ukombozi wa Gaza kutoka mikononi mwa magaidi.
You bark too muchWanaukumbi.
-----
136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance
Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions:
We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation.
Our Mujahideen destroy vehicles and cause many deaths and injuries in the ranks of the enemy.
In the next few minutes, we will show a corner of the greatness of our Mujahideen and their battle with the enemy in the buildings and the hunting of tanks and their destruction.
These actions are only the tip of the iceberg that our mujahids do.
Hamas fighters continue to burn Israeli equipment.
The tactics are still the same, Adidas T-shirt + RPG
Hamas demonstrates fresh footage of the destruction of Israeli armored vehicles in urban areas of Gaza.
View attachment 2808194
Mazayuni yanakufa kwa maelfu.Makomandoo wa Hizbollah wamo ndani ya Israel wanachakaza balaa.Iarael vita hawezi kabisa.Hadi sasa hajaua Hamas hata mmoja anakamata wananchi na kuua watoto tuu.Wiki mbili zijazo Hamas watayamaliza mazayuni kabisaUnabisha nini wewe vitu vipo wazi??
Kila siku wanajeshi wa IDF wanakufa na Israel inaficha idadi.
Jiulize Kambi ya shebah iliolipuliwa na hizbollah vipi mbona IDF hawakutoa ripoti ya vifo??
Halafu Kila siku wanabadilisha ripoti ya vifo tokea October 7.
ISRAEL VITA HAIWEZI ANAUA RAIA KUJIFARIJI ILA KIUKWELI ANAPIGIKA UTAKE USITAKE
mtaandamana sana lakini kichapo Kiko palepale,we huoni Iran ameufyata pamoja na mikwara yote Ile anajua myahudi ni moto mwingine shehe[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]