HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

Wewe punguani kweli eti Hamas wameleta matatizo kwa Wapalestina Hamas imeanzishwa lini? West Bank kuna Hamas umeanza kufuatiioa huu mgongoro JF. Jinga kabisa wewe zadi ya miaka 50 Wapalestina wanateswa na mabasha zako.
Jazba za nini shehe embu pata kikombe cha gahawa kwanza tafakari kwanza hawa Hamas walipiga hesabu zao vibaya ukikujua kuanzisha vita jua na kumalizia vita Hamas walianzisha hii vita October 7 na wafia dini walimshukuru Allah amewasaidia kumpiga myahudi sasa kelele za nini wakati Israel anajibu mashambulizi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Muisrael mweusi wa Kimara temboni hauna unachokijua zaidi ya ushabiki mandazi.
Endelea kucheza baada ya kuangalia hii video.

Israeli helicopters land in the courtyard of Assuta Hospital in Ashdod, carrying dead and seriously injured soldiers.
Kwaiyo wewe n Mpalestina mweupe sio
 
Msikilize huyu jamaa Mtoto wa mmoja wa makamanda wa hamas.


View: https://www.instagram.com/reel/CzHD6OCI6u3/?igshid=d3NqZDJ6bjdlYzdm
 
ndugu yng ndugu yng...! Shauli yako
 
Wewe Muisrael mweusi wa Kimara temboni hauna unachokijua zaidi ya ushabiki mandazi.
Endelea kucheza baada ya kuangalia hii video.

Israeli helicopters land in the courtyard of Assuta Hospital in Ashdod, carrying dead and seriously injured soldiers.
Wewe ni mpalestina mweusi wa wapi?
 
Uzi umegeuka na kuwa Gaza strip.Fumba macho tuwaombee dua njema ndugu zetu hao!🙏🤔
 
narudia Tena propaganda za kitoto mpelekee ayatollah wa Iran [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unabisha nini wewe vitu vipo wazi??
Kila siku wanajeshi wa IDF wanakufa na Israel inaficha idadi.
Jiulize Kambi ya shebah iliolipuliwa na hizbollah vipi mbona IDF hawakutoa ripoti ya vifo??
Halafu Kila siku wanabadilisha ripoti ya vifo tokea October 7.
ISRAEL VITA HAIWEZI ANAUA RAIA KUJIFARIJI ILA KIUKWELI ANAPIGIKA UTAKE USITAKE
 
Jitahidi basi uache hata kuvaa suruali za watoto shekh 😂😂
Hoja za vitq zimeisha vipi kumwaga maji kwenye mahandaki nasikia mabasha zako wameacha baada kuona watawapa Hamas maji ya kuoga😂
 
Hamas lazima wafurushwe na hizo propaganda hazitasaidia chochote,maana jeshi la taifa teule la israel lipo mjini Gaza kuendelea kufanya ukombozi wa Gaza kutoka mikononi mwa magaidi.
Nimeona wamalekamatwa mateka wengi sana ,nahdani sasa watatahuriwa wajisalimishe.
Idf imezingira kila kona ya Gaza.
 
You bark too much
 
Mazayuni yanakufa kwa maelfu.Makomandoo wa Hizbollah wamo ndani ya Israel wanachakaza balaa.Iarael vita hawezi kabisa.Hadi sasa hajaua Hamas hata mmoja anakamata wananchi na kuua watoto tuu.Wiki mbili zijazo Hamas watayamaliza mazayuni kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…