Hamas wafanya shambulizi katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.

Hamas wafanya shambulizi katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

⚡️ Vikosi vya Al-Qassam:

Picha za shambulio la tatu la kuvizia likilenga askari na magari ya adui karibu na makutano ya Burj Awad katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.
=========================
⚡️ Al-Qassam Brigades:

Footage of the third ambush targeting enemy soldiers and vehicles near the Burj Awad junction in Al-Junaina neighborhood, east of Rafah City, avenging Sinwar’s blood.

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1864673049821184160?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hawa wajinga sana, wanavizia wanashambulia halafu wanaenda kujificha kwa wake na watoto wao. IDF ikiwafuata wanaanza kulia wanaua wanawake na watoto.

Safari hii watakufa wao na watoto wao, hakuna namna maana hata hao watoto wakikua nao watakuwa waviziaji tu.
 
Wewe punguani sana unawapangia Hamas jinsi ya kupigana dawa ya magaidi hawa wanaouwa watoto ni hii tu.
 
Kumbe bado kunawanaoendelea kutaka bikira za Allah!

Haya bhana, kazi kwao

Halafu wewe Ritz ni mjanja mjanja sana, unamaneno mbofu mbofu na ukali wa kipuuzi kwa wachangiaji wenye mlengo tofauti na wako, kumbe ulipaswa na wewe ukaungane na wapenda bikira za Allah, nashangaa huzitaki

Unafula tu hapa Jf utafikiri kinyonga bhana
 
Wewe jamaa ngoja nikuongezee wenzako mada ichangamke THE BIG SHOW FaizaFoxy Malaria 2 njooni huku
Ritz ni jeshi la mmoja tu.

⚡️BREAKING: Hamas statement:

In the Name of Allah, the Most Gracious, the Most Merciful

The leadership delegation of the Islamic Resistance Movement (Hamas) has concluded its meetings in the Egyptian capital, Cairo. The delegation engaged in in-depth discussions with the Fatah movement regarding the formation of a committee to manage the Gaza Strip as part of implementing nationally agreed-upon comprehensive agreements aimed at achieving national unity and fully ending the division and its various consequences.

The delegation conveyed the movement's approval of the proposal presented by the Egyptian brothers regarding the formation of a community support committee through inclusive national mechanisms.

Additionally, the delegation held a meeting with the leadership of the Popular Front for the Liberation of Palestine, during which they discussed the overall political and field developments in Gaza and the West Bank.

The delegation also met with several prominent Palestinian national figures and dignitaries present in Cairo, briefing them on the discussions held with Fatah and Hamas' position on the Egyptian proposal within the national framework.

Islamic Resistance Movement - Hamas
Thursday, 4 Jumada Al-Akhirah 1446 AH
Corresponding to: December 5, 2024
 
Rafah! Kimji ndani ya Gaza; unajishambulia mwenyewe kwa kuvizia! These people are crazy.
Nyoka akiingia ndani inatakiwa umshambulie humo humo ila tu uwe na tahadhari habari njema sana hizi ijapokua kwako mbaya Sanaaaaaaa
 
Back
Top Bottom