Hii spirit ya HAMAS ni kiboko inamfanya hata ADUI ajiulize mara mbili🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa Israeli inabidi ajitafakari sana RPG ni zana ya kivita ya 2nd WW ila ipo effective sana👍👍👍
Waafrica tungekuwa na hii spirit kama ya HAMAS, Mzungu angetia heshima.
Hii vita Israeli amejiabisha na kujishusha sana ila VIKUNDI KAMA HAMAS wimepata MORALI na kuona majeshi mengi ni mdebwedo tu!!!
Ikiwa mizani ingebalance yaani battle for battle an eye for an eye😄😄😄😄 Israeli angechapika mbaya mbovu.
Ingekuwa na HAMAS nao wana madege vita na vifaru asee uongo mbaya ISRAEL angepata kipigo cha mbwa koko.