Kuna mijitu inachekesha sana,🤣🤣🤣🤣🤣 mtu hata huna bima ya afya ya maisha, unaishi maisha ya kuungaunga unajiona umewini🥱🥱🥱
Yaani unawaona HAMAS wanapoteza sana kufa wakati unashindwa kuelewa no matter what kila MTU ATAKUFA, hivyo wenze wetu wao wanaona ufe sasa au ufe baada ya miaka 10 haina tofauti na aliyekufa mwaka jana kwahiyo mijitu myeusi acheni kujifariji hamna mlichowazidi waliokufa na watakaokufa, Kila mtu ni MAITI MTARAJIWA!!!
Wamagaribi wamefanikiwa pakubwa kusoften hii GENERATION YA SASA yaani watu wamekuwa softsoft kuanzia kwenye vichwa mpaka kwenye nafsi.