econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mwaka 1982 kulikuwepo na vita Kali kati ya Fatah/ PLO ya Yasser Arafat na Israel ndani ya Lebanon. Fatah wakazungukwa na majeshi ya Israel ili wamalizww ndipo Fatah/ PLO wakaomba umoja wa mataifa uwasaidie waondoke ndani ya Lebanon. Ndipo umoja wa mataifa ukakubaliana na Israel isiendelee kuwashambulia Fatah na Fatah waondoke ndani ya Lebanon wahamie Tunisia. Hivyo mwaka 1982 majeshi ya Fatah na vifaru vyao wakahamia Tunisia na Makao makuu yao yakawa Tunis, mpaka pale walipokuja kuitambua Israel na kuanzisha mamlaka ya Palestina kwenye miaka ya mwanzo ya 90.
Nashauri Hamas wachukue mkondo huo. Waombe kuondoka Gaza na kuwaacha raia kwa amani , wakubali kuhamishia makao yao Misri kwa muda mpaka amani ya kudumu ipatikane.
Nashauri Hamas wachukue mkondo huo. Waombe kuondoka Gaza na kuwaacha raia kwa amani , wakubali kuhamishia makao yao Misri kwa muda mpaka amani ya kudumu ipatikane.