Hamas wafanye Kama Fatah/PLO ilivyofanya mwaka 1982

Mwaka 1982 kulikuwepo na vita Kali kati ya Fatah/ PLO ya Yasser Arafat na Israel ndani ya Lebanon. Fatah wakazungukwa na majeshi ya Israel ili wamalizww ndipo Fatah/ PLO wakaomba umoja wa mataifa uwasaidie waondoke ndani ya Lebanon. Ndipo umoja wa mataifa ukakubaliana na Israel isiendelee kuwashambulia Fatah na Fatah waondoke ndani ya Lebanon wahamie Tunisia. Hivyo mwaka 1982 majeshi ya Fatah na vifaru vyao wakahamia Tunisia na Makao makuu yao yakawa Tunis, mpaka pale walipokuja kuitambua Israel na kuanzisha mamlaka ya Palestina kwenye miaka ya mwanzo ya 90.

Nashauri Hamas wachukue mkondo huo. Waombe kuondoka Gaza na kuwaacha raia kwa amani , wakubali kuhamishia makao yao Misri kwa muda mpaka amani ya kudumu ipatikane.
Halafu baada ya hapo Palestine ikawa nchi huru?. Na nani alimuua Arafat?.
 
Mwaka 1982 kulikuwepo na vita Kali kati ya Fatah/ PLO ya Yasser Arafat na Israel ndani ya Lebanon. Fatah wakazungukwa na majeshi ya Israel ili wamalizww ndipo Fatah/ PLO wakaomba umoja wa mataifa uwasaidie waondoke ndani ya Lebanon. Ndipo umoja wa mataifa ukakubaliana na Israel isiendelee kuwashambulia Fatah na Fatah waondoke ndani ya Lebanon wahamie Tunisia. Hivyo mwaka 1982 majeshi ya Fatah na vifaru vyao wakahamia Tunisia na Makao makuu yao yakawa Tunis, mpaka pale walipokuja kuitambua Israel na kuanzisha mamlaka ya Palestina kwenye miaka ya mwanzo ya 90.

Nashauri Hamas wachukue mkondo huo. Waombe kuondoka Gaza na kuwaacha raia kwa amani , wakubali kuhamishia makao yao Misri kwa muda mpaka amani ya kudumu ipatikane.

View: https://youtu.be/TJC6RZkeezY?si=_Urtk_gJzCpJzNhT
 
Wamepanga kuja huku huku, mlango ni Hawa Hawa viongozi wanaamini usultani na udini, huo mkataba uliopigiwa kelele sana wa bandari, Kwa Siri ndio Mpango mkubwa huo.

Kwingine hakuna ardhi ya kutosha na raslimali wazitakazo zaidi ya hapa.

Nchi hii ni makimbilio ya wengi.

Lakini Mungu ni Mwema, ajaye 2025 hatorubusu Hilo Kutokea, hapa ni Nchi ya AGANO la Mwisho siku hizi za utawala wa Kristo duniani kabla ya UNYAKUO.

View: https://youtube.com/shorts/TGgWth9tdDE?si=bjXh4fcSYDdwlhHe
 
Kama ulishawahi kukutana na hii ramani hupaswi kuwashauri hivyo, wakiondoka tu hata ule ukuta wa Gaza utavunjwa na itakuwa ni rasmi eneo la Israel. View attachment 3129034
Hizo ramani huwa zinachapishwa na wapumbavu ambao ndio wanawatia kiburi watu wa nje ya Israel...

Maeneo ya nchi ya Israel yakiwa chini ya Uingeleza yalikuwa na raia wote jews na Arabs.. kama kawaida arabs wana tabia ya kuangamiza vizazi tofauti na wao huko Jordan waliua jews wote bonge la genocide ambayo Arabs wana beg isizungumzwe same na Hamas October 7 hawataki pia kuizungumzia...

Maeneo mengi Arabs wameuza kwa Wayahudi hadi ilifika Arabs waliweka Sheria kuwa Arabs akimuuzia Ardhi Myahudi adhabu yake ni kifo.. ila Arabs waliuza na kukimbia nchi wakiwa matajiri sasa wapumbavu wanalalamika eti Israel inameza ardhi kitu ambacho si kweli ni Same Wakinga kununua maeneo ya kariakoo.. Wazaramu kariakoo ni wa kutafuta na tochi.

Hakujawahi kuwa na Nchi ya waarabu katika ardhi ya Ibrahim,Isaka na Jacob Neno Palestine maana yako ni Wavamizi au Immigrants so ushakua wapi migrants wanalalamika kuvamia kwenye nchi ambayo si yao.. even Quran inawatoa nishai wadai
 
Wamepanga kuja huku huku, mlango ni Hawa Hawa viongozi wanaamini usultani na udini, huo mkataba uliopigiwa kelele sana wa bandari, Kwa Siri ndio Mpango mkubwa huo.

Kwingine hakuna ardhi ya kutosha na raslimali wazitakazo zaidi ya hapa.

Nchi hii ni makimbilio ya wengi.

Lakini Mungu ni Mwema, ajaye 2025 hatorubusu Hilo Kutokea, hapa ni Nchi ya AGANO la Mwisho siku hizi za utawala wa Kristo duniani kabla ya UNYAKUO.
Naitunza hii coment kuwa ajaye 2025 hatoruhusu hilo litokee. Labda asiwe mama😀
 
Wewe ukiambiwa uondoke hapo tandale kwa tumbo ulipozaliwa ukasoma utakubali kirahisi mkuu...ukishiba lala .
Mbona wamasai wamekuli kirahisi kuhamishwa kutoka kwenye ardhi yao asili tena raia wa zanzibar.
 
Hizo ramani huwa zinachapishwa na wapumbavu ambao ndio wanawatia kiburi watu wa nje ya Israel...

Maeneo ya nchi ya Israel yakiwa chini ya Uingeleza yalikuwa na raia wote jews na Arabs.. kama kawaida arabs wana tabia ya kuangamiza vizazi tofauti na wao huko Jordan waliua jews wote bonge la genocide ambayo Arabs wana beg isizungumzwe same na Hamas October 7 hawataki pia kuizungumzia...

Maeneo mengi Arabs wameuza kwa Wayahudi hadi ilifika Arabs waliweka Sheria kuwa Arabs akimuuzia Ardhi Myahudi adhabu yake ni kifo.. ila Arabs waliuza na kukimbia nchi wakiwa matajiri sasa wapumbavu wanalalamika eti Israel inameza ardhi kitu ambacho si kweli ni Same Wakinga kununua maeneo ya kariakoo.. Wazaramu kariakoo ni wa kutafuta na tochi.

Hakujawahi kuwa na Nchi ya waarabu katika ardhi ya Ibrahim,Isaka na Jacob Neno Palestine maana yako ni Wavamizi au Immigrants so ushakua wapi migrants wanalalamika kuvamia kwenye nchi ambayo si yao.. even Quran inawatoa nishai wadai

ndiyo mafundisho ya Nabii wako Tito ?? Mbona hakuna ushahidi wowote ? Hiyo Jordan aliiunda Nabii wako Tito miaka hiyo ??
 
Back
Top Bottom