Ni mwendawazimu pekee anayedhani Hamas watapata uhuru/ushindi wao mbele ya Israel kwa kutumia strategy hii wanayoitumia kwa Karne hii (labda miujiza). Ni muhimu sana watu waone uhalisia wa mambo na tuache mihemko ya kidini, otherwise watasubiri sana kwa matumaini ambayo hayapo.
Hakika sana mkuuNi mwendawazimu pekee anayedhani Hamas watapata uhuru/ushindi wao mbele ya Israel kwa kutumia strategy hii wanayoitumia kwa Karne hii (labda miujiza). Ni muhimu sana watu waone uhalisia wa mambo na tuache mihemko ya kidini, otherwise watasubiri sana kwa matumaini ambayo hayapo.
Wanachokifanya Hamas kinakaribiana na vita vya 'Majimaji' vya Kinjekitile Ngwale. Hii ni ngoma ambayo Hamas hawawezi kushinda, ni ya kutia huruma tu, labda kwa msaada wa muujizaHakika sana mkuu
Hawa watu kinachowasumbua ni JIHAD ya kufikirika
UTAPELI WA Kiitikadi ya msimamo mkali na mafundisho ya machafuko,.
Mfano hawa gaza waliachia yote kabisa , lakini hawakutosheka , wakaakubali utapeli wa hamas na mashikinizo mataifa mengine ya itikadi kali ,sasa angalia leo wana tapa tapa
Sasa mkuu, hizo ni muktadha miwili tofauti. Hapa unaongelea kuhusu mataifa mawili, lakini suala la CCM na CHADEMA siyo gumu kiasi hicho, ni siasa za ndani ambazo zinaweza kubadilika muda wowote. Tatizo kubwa la Watanzania ni kwamba wengi ni mambumbu na wajinga, mara mia wapalestina wa Gaza.Hata CCM, mwamba, vile vyama mpango na washirika wao wanasema kama wewe kuihusu CDM ya Lissu. Kwani wewe ni mwenzao?
Hebu angalia hapa?Sasa mkuu, hizo ni muktadha miwili tofauti. Hapa unaongelea kuhusu mataifa mawili, lakini suala la CCM na CHADEMA siyo gumu kiasi hicho, ni siasa za ndani ambazo zinaweza kubadilika muda wowote. Tatizo kubwa la Watanzania ni kwamba wengi ni mambumbu na wajinga, mara mia wapalestina wa Gaza.
I concur bossIsrael inafanya kazi nzuri hapo Gaza japo sio nzuri sana.
Hadi sasa hapo Gaza hakupaswa kuonekana mtu yeyote anaishi. Gaza ilipaswa vionekane vifusi tu.
Israel tufutieni kabisa hiko kizazi cha kigaidi.
Una maana bilioni 100 za Yanga au?😂Hapo kuna kifusi na screpa za kama bilioni 100…
Unafanyaje uchambuzi wa kulinganisha magaidi na watu wasiokuwa magaidi? Hoja ya Lissu kuhusu Hamas si dogma, ni maoni yake tu. Pili, acha kuishi kwa hisia na kutegemea miujiza, hakuna jinsi watakavyoshinda vita dhidi ya Israel hawana uwezo huo. Jaribu kuwa objective, tafuta mikakati mbadala ya ushindi na sio kwa vita wala ugaidi.Hebu angalia hapa?
Tundu Lissu: Hamas Siyo Magaidi ila Wale waliopora Ardhi yao. Unayemuona Gaidi Wewe kwa Wenzako ni Mpigania Uhuru mfano Mandela!
Soma hapo kujua kufanana kwao na sisi.
Hadi hapo bumbumbu hudhani kuwa ni wewe ndugu?
Bure kabisa!
Niulizie bei ya chuma chakavu huko,niingie mzigoni.Lakini kuna utindio wa ubongo mmoja atakuja kuilaumu israel kwa haya huku akiacha hamas.
View attachment 3471919
Unafanyaje uchambuzi wa kulinganisha magaidi na watu wasiokuwa magaidi? Hoja ya Lissu kuhusu Hamas si dogma, ni maoni yake tu. Pili, acha kuishi kwa hisia na kutegemea miujiza, hakuna jinsi watakavyoshinda vita dhidi ya Israel hawana uwezo huo. Jaribu kuwa objective, tafuta mikakati mbadala ya ushindi na sio kwa vita wala ugaidi.
Niulizie bei ya chuma chakavu huko,niingie mzigoni.
Kobazi ni wapuuzi sana.