Wangeamua wasiwe na furaha wasingekua na furaha, mateka wote wa Hamas wana furaha means lengo la hamas ninkuachiwa wapalestina waliojaa magereza ya Israel wanaokamatwa bila kushtakiwa, na lengo si kutesa binadamu wasio na hatia.
Ila upande wa pili hata watoto wanaua na wazee wasio na hatia.