Hamas waliwateka wanawake ili kuwabaka

Echolima, nitaendelea kukusaidia maana kuna vitu vingi hujui au huna habari navyo kabisa.
Ukitazama mgogoro wa Mashariki ya kati kwa jicho la dini utabaki gizani kila siku.

Maneno mengi ya kujitetea bila kuonyesha FACT
Sijui kama una ''facts'' kwa bandiko lako, na kama ni hizi hapa chini hebu tuzipitie
Issue hapa ni Hamas ni wabakaji walibaka kuna watu waliowateka wamesema wamebakwa
Kwahiyo mtu akisema ''amebakwa'' ni 'Fact'. Haina maana kwamba siyo !lakini lazima kuwe na uthibitisho kwamba hilo limetokea. Kuna Wanawake wa Kipalestina walifungwa Israel nao wanasema walifanyiwa ukatili. Je tukubali tu kwasababu wamesema.
Hoja hapa si kama imetokea au la, bali wewe kuweka ''facts' za kuthibitisha unachosema

Askari wa Israel '' WALIWAFIRA' mateka wa Palestina. Kuna Video zilizoonywesha na kila shirika la habari duniani. Israel ikakiri kwamba Askari hao wamefanya hivyo. Hiyo ni 'FACT'
harafu wewe unasema uchunguze uchunguze nini sasa?
Wewe Echolima ukisema umelawitiwa na Bw X tutawezaje kuthibitisha bila kuchunguza?
Pengine unataka mtu afungwe maisha! Hoja hapa ni kwamba kama kuna ubakaji lazima uthibitishwe.
Sijui kama unafuatilia habari za Dunia!!!
Kuna haja gani ya kuwa na Red-Cross wakati wahanga wakiwa kwenye taabu zao hata hawawatembelei?
Wahanga ni wapi ? Red cross hawaruhusiwi kuingia Magereza ya Israel. Red Cross walifukuzwa wasitoe misaada Gaza. Waandishi wa habari 105 wameuawa Gaza , wao na Familia zao (fact).
Kwanini unadhani Red cross wanapaswa kutembelea Wahanga wa utekaji wa Hamas, lakini siyo Magereza ya Israel au Hospitali za Gaza !

Red-Cross wanaonekana kwenye kubadirishana wafungwa tu hiyo ni aibu bora tu ifutwe.
Israel ilikataa Red cross na mashirika yote ya kutoa huduma za kibinadamu ''fact''
Wafanyakazi 7 wa shirika lililotoa chakula la World kitchen waliuawa! fact!
UN nayo yaleyale Hamas wamevamia wako kimya Israel imejibu mapigo zinatokea kelele za Proportionality.hakuna haja ya mashirika kama hayo boro yafutwe tu maana hayana maana.
Ni maoni yako tunayaheshimu

Watanzania, mgogoro wa Mashariki ya kati si jambo rahisi na wala sijambo la dini.
Watanzania tujenge utamaduni wa kusoma na kusikiliza, tusisubiri kusoma headlines au kusimuliwa

Dunia inahangaika na huu mgogoro kwa miaka dahari, si rahisi kama mgogoro wa wafugaji na Wakulima wa Gairo! please
 
Mkuu Nguruvi3

Habari za masiku ndugu masiku dahari hatujasoma, napita kidogo naelekea Gairo kuna mgogoro wa Wakulima na Wafugaji kuna kikao kesho nadhani mwenyekiti ataumaliza.
 
Wayaudi wa tandale hamna akili,kwenu wazungu ni malaika
 
Mkuu Nguruvi3

Habari za masiku ndugu masiku dahari hatujasoma, napita kidogo naelekea Gairo kuna mgogoro wa Wakulima na Wafugaji kuna kikao kesho nadhani mwenyekiti ataumaliza.
Mungu anasaidia tupo! Safari njema Gairo usisahau kuchukua Red Cross hapo Morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…