Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Echolima, nitaendelea kukusaidia maana kuna vitu vingi hujui au huna habari navyo kabisa.
Ukitazama mgogoro wa Mashariki ya kati kwa jicho la dini utabaki gizani kila siku.
Hoja hapa si kama imetokea au la, bali wewe kuweka ''facts' za kuthibitisha unachosema
Askari wa Israel '' WALIWAFIRA' mateka wa Palestina. Kuna Video zilizoonywesha na kila shirika la habari duniani. Israel ikakiri kwamba Askari hao wamefanya hivyo. Hiyo ni 'FACT'
Pengine unataka mtu afungwe maisha! Hoja hapa ni kwamba kama kuna ubakaji lazima uthibitishwe.
Kwanini unadhani Red cross wanapaswa kutembelea Wahanga wa utekaji wa Hamas, lakini siyo Magereza ya Israel au Hospitali za Gaza !
Wafanyakazi 7 wa shirika lililotoa chakula la World kitchen waliuawa! fact!
Watanzania, mgogoro wa Mashariki ya kati si jambo rahisi na wala sijambo la dini.
Watanzania tujenge utamaduni wa kusoma na kusikiliza, tusisubiri kusoma headlines au kusimuliwa
Dunia inahangaika na huu mgogoro kwa miaka dahari, si rahisi kama mgogoro wa wafugaji na Wakulima wa Gairo! please
Ukitazama mgogoro wa Mashariki ya kati kwa jicho la dini utabaki gizani kila siku.
Sijui kama una ''facts'' kwa bandiko lako, na kama ni hizi hapa chini hebu tuzipitieManeno mengi ya kujitetea bila kuonyesha FACT
Kwahiyo mtu akisema ''amebakwa'' ni 'Fact'. Haina maana kwamba siyo !lakini lazima kuwe na uthibitisho kwamba hilo limetokea. Kuna Wanawake wa Kipalestina walifungwa Israel nao wanasema walifanyiwa ukatili. Je tukubali tu kwasababu wamesema.Issue hapa ni Hamas ni wabakaji walibaka kuna watu waliowateka wamesema wamebakwa
Hoja hapa si kama imetokea au la, bali wewe kuweka ''facts' za kuthibitisha unachosema
Askari wa Israel '' WALIWAFIRA' mateka wa Palestina. Kuna Video zilizoonywesha na kila shirika la habari duniani. Israel ikakiri kwamba Askari hao wamefanya hivyo. Hiyo ni 'FACT'
Wewe Echolima ukisema umelawitiwa na Bw X tutawezaje kuthibitisha bila kuchunguza?harafu wewe unasema uchunguze uchunguze nini sasa?
Pengine unataka mtu afungwe maisha! Hoja hapa ni kwamba kama kuna ubakaji lazima uthibitishwe.
Sijui kama unafuatilia habari za Dunia!!!Jumuia zote ziko kimya likija Saula la Israel lakini likija suala la waarabu utasikia Genocide mara War-Crime, mara unyanyasaji mara Proportionality. Sasa Unajiuliza Hamas walipovamia walifuata hiyo Proportionality? Je walilaani vitendo walivyovifanya?
Wahanga ni wapi ? Red cross hawaruhusiwi kuingia Magereza ya Israel. Red Cross walifukuzwa wasitoe misaada Gaza. Waandishi wa habari 105 wameuawa Gaza , wao na Familia zao (fact).Kuna haja gani ya kuwa na Red-Cross wakati wahanga wakiwa kwenye taabu zao hata hawawatembelei?
Kwanini unadhani Red cross wanapaswa kutembelea Wahanga wa utekaji wa Hamas, lakini siyo Magereza ya Israel au Hospitali za Gaza !
Israel ilikataa Red cross na mashirika yote ya kutoa huduma za kibinadamu ''fact''Red-Cross wanaonekana kwenye kubadirishana wafungwa tu hiyo ni aibu bora tu ifutwe.
Wafanyakazi 7 wa shirika lililotoa chakula la World kitchen waliuawa! fact!
Ni maoni yako tunayaheshimuUN nayo yaleyale Hamas wamevamia wako kimya Israel imejibu mapigo zinatokea kelele za Proportionality.hakuna haja ya mashirika kama hayo boro yafutwe tu maana hayana maana.