HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40
========================

Hamas negotiators have waived the condition of a final ceasefire and the withdrawal of IDF soldiers from Gaza in their ongoing talks with Israel for a second hostage release, according to a report by the Arab World News Agency (AWP), citing sources in Hamas.

"The five-way talks between Egypt, Qatar, the United States, Israel, and Hamas are ongoing, but so far no agreement has been reached," the source told AWP, adding that talks have "accelerated significantly in recent hours," with "Cairo and Doha making persistent efforts."

The terrorist group is now open to the release of 40 hostages in exchange for 120 prisoners held by Israel, the report said, adding that Hamas had demanded a one-day ceasefire in exchange for each hostage released, but Israel refused.
 
We unajua nani kandika huo mkataba sio Israel ni Misr na Qatar ili wamsaidie Israel, America kawaomba hizo nchi mbili ziwabembeleze Hamasi mpa wakubali😄

Nyuma ya pazia America na nchi za kiarabu wameahidi kulipa mabillion ya pesa na ikiwepo kuyajenga hayo majumba walio ya vunja.

Pili Hamasi anabaki hapo hapo.

Tatu Israel asisubuti tena kuwapiga wa Palestine

Afu unakuja jisifia hapa 😄
 
Mkuu na wewe ni mjumbe katika negotiation iliyotoka na resolution hizo?
 
haijalishi nani kaandika, kimsingi HAMAS wameondoa sharti, walibwatuka bwatuka kwamba hawataachia eti lazima IDF waondoke, thubutu....yaani IDF kuondoka pale lazima wapaache shamba kwanza.
 
We unajua nani kandika huo mkataba sio Israel ni Misr na Qatar ili wamsaidie Israel, America kawaomba hizo nchi mbili ziwabembeleze Hamasi mpa wakubali[emoji1]

Nyuma ya pazia America na nchi za kiarabu wameahidi kulipa mabillion ya pesa na ikiwepo kuyajenga hayo majumba walio ya vunja.

Pili Hamasi anabaki hapo hapo.

Tatu Israel asisubuti tena kuwapiga wa Palestine

Afu unakuja jisifia hapa [emoji1]
Chanzo cha habari, trust me bro. Leo ndio unakubali Wapalestina walikuwa wanapigwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40
========================

Hamas negotiators have waived the condition of a final ceasefire and the withdrawal of IDF soldiers from Gaza in their ongoing talks with Israel for a second hostage release, according to a report by the Arab World News Agency (AWP), citing sources in Hamas.

"The five-way talks between Egypt, Qatar, the United States, Israel, and Hamas are ongoing, but so far no agreement has been reached," the source told AWP, adding that talks have "accelerated significantly in recent hours," with "Cairo and Doha making persistent efforts."

The terrorist group is now open to the release of 40 hostages in exchange for 120 prisoners held by Israel, the report said, adding that Hamas had demanded a one-day ceasefire in exchange for each hostage released, but Israel refused.

Kwamba ni kwa hisani ya "m.jpost.com?!
 
We unajua nani kandika huo mkataba sio Israel ni Misr na Qatar ili wamsaidie Israel, America kawaomba hizo nchi mbili ziwabembeleze Hamasi mpa wakubali😄

Nyuma ya pazia America na nchi za kiarabu wameahidi kulipa mabillion ya pesa na ikiwepo kuyajenga hayo majumba walio ya vunja.

Pili Hamasi anabaki hapo hapo.

Tatu Israel asisubuti tena kuwapiga wa Palestine

Afu unakuja jisifia hapa 😄
Kawadanganye wavaa kobazi huko masjid
 
haijalishi nani kaandika, kimsingi HAMAS wameondoa sharti, walibwatuka bwatuka kwamba hawataachia eti lazima IDF waondoke, thubutu....yaani IDF kuondoka pale lazima wapaache shamba kwanza.
Hata kama watapaacha uwanja ila lazma waondoke
Hamas wanachotaka wao waondoke haijaalishi watapaachaje
Kwahio tukubaliane mzayuni wa jf wataondoka hawaondoki?
 
Anajitahidi kuonyesha HAMAS wamesalimu amri na vi news outlets vya uchochoroni. Kama HAMAS wamesalimu amri:

1. mbona Israel kashaanza kuondoka Gaza?

2. mbona Israel haijakubali ili awamu ya pili ya truce iingie kazini?
 
Mkuu na wewe ni mjumbe katika negotiation iliyotoka na resolution hizo?
We dogo baki unapapasa magazeti ya Israel, kwa tarifa yako Israel kukubali masharti yote ya Hamasi kwanza aondoe majeshi yake, pili arudishe umeme na maji haraka iwezekanavyo na asilete ujinga tena.

Hio kulipa we baki una bweka wenzako wamekubali kulipa na wa kwanza America.
 
haijalishi nani kaandika, kimsingi HAMAS wameondoa sharti, walibwatuka bwatuka kwamba hawataachia eti lazima IDF waondoke, thubutu....yaani IDF kuondoka pale lazima wapaache shamba kwanza.
Nani kakuambia wewe Leo umeme utarudi Gaza we baki Hamasi kakubali, Israel ndio kakubali masharti ya Hamasi.

Kwanza kambiwa arudishe umeme haraka sana kabla ya chochote
 
Kwani Israel wameweza kukomboa hata mateka wao mmoja? Kama Israel wameshindwa, kwanini tusiamini kuwa Hamas wana nguvu kuishinfa Israel?

Au mnataka kusema mateka hawapo Gaza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja waachie mateka uone kitakachowapata
 
Back
Top Bottom