HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

Kwani Israel wameweza kukomboa hata mateka wao mmoja? Kama Israel wameshindwa, kwanini tusiamini kuwa Hamas wana nguvu kuishinfa Israel?

Au mnataka kusema mateka hawapo Gaza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja waachie mateka uone kitakachowapata
 
Kwani Israel wameweza kukomboa hata mateka wao mmoja? Kama Israel wameshindwa, kwanini tusiamini kuwa Hamas wana nguvu kuishinfa Israel?

Au mnataka kusema mateka hawapo Gaza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaamini Israel hajui walipo mateka?Akikomboa mateka hakutakuwa na sababu tena ya kuwamaliza magaidi.Wanabuy time kufanya wanayoyafanya kwa kisingozio cha mateka.Endeleeni kuwa majinga
 
Unaamini Israel hajui walipo mateka?Akikomboa mateka hakutakuwa na sababu tena ya kuwamaliza magaidi.Wanabuy time kufanya wanayoyafanya kwa kisingozio cha mateka.Endeleeni kuwa majinga
Wajue wapi mabwege hao sehemu wanazo fanikiwa ni sehemu wako wanafiki wakipewa tu pesa kudogo wanatoa siri.
 
We dogo baki unapapasa magazeti ya Israel, kwa tarifa yako Israel kukubali masharti yote ya Hamasi kwanza aondoe majeshi yake, pili arudishe umeme na maji haraka iwezekanavyo na asilete ujinga tena.

Hio kulipa we baki una bweka wenzako wamekubali kulipa na wa kwanza America.
Chanzo Cha habari please
 
Watu mnaishi Buza, hamna hata school fee za watoto, Mnahangaika na mambo yasiyowahusu.
 
Anajitahidi kuonyesha HAMAS wamesalimu amri na vi news outlets vya uchochoroni. Kama HAMAS wamesalimu amri:

1. mbona Israel kashaanza kuondoka Gaza?

2. mbona Israel haijakubali ili awamu ya pili ya truce iingie kazini?
Wazayuni wa jf hawajitambui kabisa yaaani kabisaa

Wao akili zao zooote walikua wanadhani kwamba kuripua majumba mahospital navitu visivyo husika ndio vita nandio ushindi eti

Wao walikua wanajua hao ndio maadui zao kumbe adui yao haswa Hamas wanamuacha au hawajui alipo
 
Unaamini Israel hajui walipo mateka?Akikomboa mateka hakutakuwa na sababu tena ya kuwamaliza magaidi.Wanabuy time kufanya wanayoyafanya kwa kisingozio cha mateka.Endeleeni kuwa majinga
😀 😀 😀 kwani kule west bank anapoua watu kuna nani alitekwa kule ewe mzayuni
Israhell hua hatafuti sababu akiamua kuua watu hua anaua tu akiona kaamua anaua
Ila suala la mateka kakwama ndio maana unaona kaufyata
West bank hajatekwa hata mbu wa israhell ila leo wameua watu wanne wamejeruhi makumi wamewakamata wanne
Wazayuni tunajua munaumia kwa taifa teule kuwaangusha ila vumilieni tu ndio uwezo wao hapo ulioishia hapo wa Gaynation
 
Hata kama watapaacha uwanja ila lazma waondoke
Hamas wanachotaka wao waondoke haijaalishi watapaachaje
Kwahio tukubaliane mzayuni wa jf wataondoka hawaondoki?

Jana amepigwa naibu mkuu wenu....kaliwa, sasa hivi anafaidi mabikira.
 
Nani kakuambia wewe Leo umeme utarudi Gaza we baki Hamasi kakubali, Israel ndio kakubali masharti ya Hamasi.

Kwanza kambiwa arudishe umeme haraka sana kabla ya chochote
Jana amepigwa naibu mkuu wenu....kaliwa, sasa hivi anafaidi mabikira.
 
We unajua nani kandika huo mkataba sio Israel ni Misr na Qatar ili wamsaidie Israel, America kawaomba hizo nchi mbili ziwabembeleze Hamasi mpa wakubali😄

Nyuma ya pazia America na nchi za kiarabu wameahidi kulipa mabillion ya pesa na ikiwepo kuyajenga hayo majumba walio ya vunja.

Pili Hamasi anabaki hapo hapo.

Tatu Israel asisubuti tena kuwapiga wa Palestine

Afu unakuja jisifia hapa 😄
Hahahahaaaaaa....! Duhhh!
 
Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40
========================

Hamas negotiators have waived the condition of a final ceasefire and the withdrawal of IDF soldiers from Gaza in their ongoing talks with Israel for a second hostage release, according to a report by the Arab World News Agency (AWP), citing sources in Hamas.

"The five-way talks between Egypt, Qatar, the United States, Israel, and Hamas are ongoing, but so far no agreement has been reached," the source told AWP, adding that talks have "accelerated significantly in recent hours," with "Cairo and Doha making persistent efforts."

The terrorist group is now open to the release of 40 hostages in exchange for 120 prisoners held by Israel, the report said, adding that Hamas had demanded a one-day ceasefire in exchange for each hostage released, but Israel refused.

habari kutoka Jp 😛 😛

Msikilize mungu wako yesu msukuma

😛
 
Ni ujinga kuamini eti Hamas inanguvu ya kupambana na Wayahudi
Ujinga kivipi....?

Nitaamini kuwa HAMAS hawana nguvu ya kupambana na Israel, endapo tu neno HAMAS litafutika ( wauwawe asibaki hata nzi wa HAMAS).

Na HAMAS siku wakipata dhana za kivita za kisasa, sijui nini kitatokea....
 
Bajeti ya ulinzi ya marekani simumeisikia

Hamasi wajisalimishe mapema
 
Back
Top Bottom