HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

Kwani Israel wameweza kukomboa hata mateka wao mmoja? Kama Israel wameshindwa, kwanini tusiamini kuwa Hamas wana nguvu kuishinfa Israel?

Au mnataka kusema mateka hawapo Gaza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja waachie mateka uone kitakachowapata
 
Kwani Israel wameweza kukomboa hata mateka wao mmoja? Kama Israel wameshindwa, kwanini tusiamini kuwa Hamas wana nguvu kuishinfa Israel?

Au mnataka kusema mateka hawapo Gaza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaamini Israel hajui walipo mateka?Akikomboa mateka hakutakuwa na sababu tena ya kuwamaliza magaidi.Wanabuy time kufanya wanayoyafanya kwa kisingozio cha mateka.Endeleeni kuwa majinga
 
Unaamini Israel hajui walipo mateka?Akikomboa mateka hakutakuwa na sababu tena ya kuwamaliza magaidi.Wanabuy time kufanya wanayoyafanya kwa kisingozio cha mateka.Endeleeni kuwa majinga
Wajue wapi mabwege hao sehemu wanazo fanikiwa ni sehemu wako wanafiki wakipewa tu pesa kudogo wanatoa siri.
 
Chanzo Cha habari please
 
Watu mnaishi Buza, hamna hata school fee za watoto, Mnahangaika na mambo yasiyowahusu.
 
Anajitahidi kuonyesha HAMAS wamesalimu amri na vi news outlets vya uchochoroni. Kama HAMAS wamesalimu amri:

1. mbona Israel kashaanza kuondoka Gaza?

2. mbona Israel haijakubali ili awamu ya pili ya truce iingie kazini?
Wazayuni wa jf hawajitambui kabisa yaaani kabisaa

Wao akili zao zooote walikua wanadhani kwamba kuripua majumba mahospital navitu visivyo husika ndio vita nandio ushindi eti

Wao walikua wanajua hao ndio maadui zao kumbe adui yao haswa Hamas wanamuacha au hawajui alipo
 
Unaamini Israel hajui walipo mateka?Akikomboa mateka hakutakuwa na sababu tena ya kuwamaliza magaidi.Wanabuy time kufanya wanayoyafanya kwa kisingozio cha mateka.Endeleeni kuwa majinga
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ kwani kule west bank anapoua watu kuna nani alitekwa kule ewe mzayuni
Israhell hua hatafuti sababu akiamua kuua watu hua anaua tu akiona kaamua anaua
Ila suala la mateka kakwama ndio maana unaona kaufyata
West bank hajatekwa hata mbu wa israhell ila leo wameua watu wanne wamejeruhi makumi wamewakamata wanne
Wazayuni tunajua munaumia kwa taifa teule kuwaangusha ila vumilieni tu ndio uwezo wao hapo ulioishia hapo wa Gaynation
 
Hama ikiwa kama kundi teule hakuna wakuifuta na kamatieni hapo hapo mpaka magaidi ya kizayuni yaondoke ukanda wa ghaza kinguvu
Hamas twende kazi
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hata kama watapaacha uwanja ila lazma waondoke
Hamas wanachotaka wao waondoke haijaalishi watapaachaje
Kwahio tukubaliane mzayuni wa jf wataondoka hawaondoki?

Jana amepigwa naibu mkuu wenu....kaliwa, sasa hivi anafaidi mabikira.
 
Nani kakuambia wewe Leo umeme utarudi Gaza we baki Hamasi kakubali, Israel ndio kakubali masharti ya Hamasi.

Kwanza kambiwa arudishe umeme haraka sana kabla ya chochote
Jana amepigwa naibu mkuu wenu....kaliwa, sasa hivi anafaidi mabikira.
 
Jana amepigwa naibu mkuu wenu....kaliwa, sasa hivi anafaidi mabikira.
Kuna manaibu wengine kama mia sita wapo
Hamas muda wote hua wanajijua kua wanatembea na umauti mikononi mwao
Hakuna jipya
 
Hahahahaaaaaa....! Duhhh!
 
habari kutoka Jp ๐Ÿ˜› ๐Ÿ˜›

Msikilize mungu wako yesu msukuma

Your browser is not able to display this video.
๐Ÿ˜›
 
Ni ujinga kuamini eti Hamas inanguvu ya kupambana na Wayahudi
Ujinga kivipi....?

Nitaamini kuwa HAMAS hawana nguvu ya kupambana na Israel, endapo tu neno HAMAS litafutika ( wauwawe asibaki hata nzi wa HAMAS).

Na HAMAS siku wakipata dhana za kivita za kisasa, sijui nini kitatokea....
 
Bajeti ya ulinzi ya marekani simumeisikia

Hamasi wajisalimishe mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ