Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hamas pamoja na kuendelea na vita kwa mwezi wa tatu bado wako makini vichwani mwao kuhusiana na hadaa zozote dhidi yao.
Rais Isaac Hezrog wa Israel akizungumza na mabalozi wa nchi 85 jana aliwaahidi kwamba nchi yake inaendelea na mazungumzo ili kuongeza kiwango cha misaada inayoingia Gaza na kuwezesha mateka zaidi kuachiwa kama ilivyokuwa mwishoni mwa mwezi uliopita.
Kusikia hivyo msemaji wa Hamas amejibu ya kuwa kwa sasa mazungumzo ya kubadilishana mateka waliobaki kwa kuruhusu misaada hayana nafasi tena kwao. Kinachotakiwa ni mazungumzo ya kumaliza vita ili na wao wawaachie mateka waliobaki nao