Israel na Marekani wakubali tu ujanja umewaishia na vita vimefika pahala si pazuri. Iwapo bado wanafikiria Hamas watafaidika basi wasubiri hasara kubwa upande wao.Hii taarifa nimeona Jana al Jazeera, Acha tusubiri tuone kama Israel watakubali kusitisha vita moja Kwa moja..
Kumbuka marekani Jana wamesema kuwa kusimamisha vita (ceasefire) kunatoa mwanya Kwa HAMAS kujipanga upya na vita yaani kwakifupi Ngoma bado mbichi
Israeli wameelemewa sasa wananza ku loby mazungumzo ya kubalidisha mateka ili wajipange[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamas piga nyundo hao kenge wa Kiyahudi [emoji375][emoji375][emoji375]Hamas pamoja na kuendelea na vita kwa mwezi wa tatu bado wako makini vichwani mwao kuhusiana na hadaa zozote dhidi yao.
Rais Isaac Hezrog wa Israel akizungumza na mabalozi wa nchi 85 jana aliwaahidi kwamba nchi yake inaendelea na mazungumzo ili kuongeza kiwango cha misaada inayoingia Gaza na kuwezesha mateka zaidi kuachiwa kama ilivyokuwa mwishoni mwa mwezi uliopita.
Kusikia hivyo msemaji wa Hamas amejibu ya kuwa kwa sasa mazungumzo ya kubadilishana mateka waliobaki kwa kuruhusu misaada hayana nafasi tena kwao. Kinachotakiwa ni mazungumzo ya kumaliza vita ili na wao wawaachie mateka waliobaki nao