gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kama israel waliua watu wao october 7 je na wale wayahudi waliokuwa wakiuawa na hamas na video hamas waliposti wenyewe je ilikuwa ni israel unataka kuwatetea hamas wakati unyama wao huonyesha hivi hii dini yenu mnafundishwaga ubishi, unafiki na uwongo
Hiyo system unayosema kama haifanyi kazi tena vile.Wameshindwa kuwaokoa.Wamewapata washakufa.Hamas wamebadili mbinu na wanajua sana tabia za mayahudi.Wameamua kumalizana nao kiaina wanayoona ni bora zaidi kwao.
Hiyo mbinu mbele ya Hamas haitafanya kazi.Mwisho wa yote Hamas watakapomalizwa na us na Israel nazo zitakuwa zimeisha.Hamna cha ceasefire! Netanyahu hawezi kufanya kosa la kuwaachia magaidi Upenyo wa kujipanga tena.
Ameshasema kwamba pressure ya kijeshi dhidi ya magaidi ndio njia pekee ya kumaliza vita na kuwarudisha mateka nyumbani either dead or alive
Nyie watu wa oc.7 hivi ndio mlianza fatilia huo mgogoro kipindi hichoOctober 7 hamas walipoivamia israel waliua raia wangapi wa israel ?
Acha upumbav watu wanataka uhuru wa Palestine sio kumalizia Vita .Mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10( prisoners war ) wako mikononi mwa jeshi la Israel na wengine huko wanafanyiwa interlogation , Hamas kuendelea kung'ang'ania hao mateka wasiozidi 100 ni ujinga na kukata aibu, vita hiyo Hamas wamepata hasara kubwa sana, watu zaidi ya elfu 40 wamekufa, zaidi ya elfu 70 wameumia, Gaza imebaki Magofu. Nchi nzima imeharibika, Hamas wanashindwa nini kuachia mateka waliobaki ili Israel imalize vita? Israel alishasema endapo mateka wataachiwa siku hiyo hiyo vita inaisha. Kuendelea kuwashikilia mateka ni kuchochea vita na kumpa kiburi Israel aendelee kuua wapalestina. Umoja wa nchi za kiarabu una kazi gani? Jirani anateketea, hata kuita viongozi wa hamas, viongozi wa dini, wazee maarufu wa palestin ili kuwashauri, badala yake Wapalestina wanadanganywa na nchi ya mbali( Iran) ambayo inatumia Hamas kwa manufaa yake ya kisiasa na kidini . Wapalestina wanaishi Ulaya na Asia kila siku wanaandamana na mabango yao ya Israel is Killer, mara stop genocide in Gaza bila kusema hamas achia mateka ili vita viishe, kwa akili ya kawaida hakuna nchi ambayo unaweza kuivamia , kuua na kuteka watu halafu ikaomba negociation, kuvamia nchi na kuua watu tayari umetangaza vita hadharani.
Netanyahu hana shida na mateka, ni raia tu wanamzonga. Hamas wamekiona cha mtemakuni, na bado kipigo kinaendelea.Njia sahihi kabisa,kila IDF wakikaribia kuwafikia mateka basi wanakuta mizoga!
Ni wazi sasa hakuna namna malengo ya Netanyahu yatafanikiwa,hiyo inaacha njia moja tu ambayo ni ceasefire ili kuokoa mateka!
inasikitisha kuwa mwisho wa yoote wapalestina ndo malooserKwa taarifa yako system ya Israel siku nyingi ishawahesabia hao mateka kama walishakufa kinachowatesa ni namna ya kuwatuliza raia. Ukimsikiliza Netanyahu jana utaona kuwa hajaja na hitimisho lolote la kumaliza vita na kaahidi jibu kali zaid kwa Hamas. Wakati huo huo mahakama imezuia maandamano. Jamaa wanaofanya ile kitu Inaitwa kumalizana nao mazima. Sasa hiv kichapo kimehamia west bank. Ila binafs nachoomba kwa Mungu hii kitu iishe aisee. Kama kichapo kimetosha kabisa
Kwa masaa tu waliuwa watu 1200+ yaani imagine kuna kucha unakutana na maiti zimetapakaa mtaani. Na style ya kuuwa ni ile tuliyoiona wakati akiuwawa Joshua ( Matandania)October 7 hamas walipoivamia israel waliua raia wangapi wa israel ?
Sahau kitu inaitwa cease fire niko hapa utaniambiaNjia sahihi kabisa,kila IDF wakikaribia kuwafikia mateka basi wanakuta mizoga!
Ni wazi sasa hakuna namna malengo ya Netanyahu yatafanikiwa,hiyo inaacha njia moja tu ambayo ni ceasefire ili kuokoa mateka!
Unapoteza mda wako bure...achana nae!Kama israel waliua watu wao october 7 je na wale wayahudi waliokuwa wakiuawa na hamas na video hamas waliposti wenyewe je ilikuwa ni israel unataka kuwatetea hamas wakati unyama wao huonyesha hivi hii dini yenu mnafundishwaga ubishi, unafiki na uwongo
Sisi hatujui hayo tunajua october 7 hamas walianzisha vita hapa hakuna cha cease fire ni mwendo wa kipondo tu maandamano yatapoa yenyewe ila gaza itawashwa motoNyie watu wa oc.7 hivi ndio mlianza fatilia huo mgogoro kipindi hicho
Kwanza Hamas walikuwa wanataka vita ndo maana walivamia Israel. Sasa nashangaa mtu kutoka sijui Handeni anawaonea huruma. VITA WALIVYOTAKA NDO HIVI VINAENDELEA TUACHE WAPIGANE MPAKA KIELEWEKESisi hatujui hayo tunajua october 7 hamas walianzisha vita hapa hakuna cha cease fire ni mwendo wa kipondo tu maandamano yatapoa yenyewe ila gaza itawashwa moto
Ukizungumza sijui kama pia unawaza vizuri.Kwa sababu unalaumu Hamas kuteka na kuua kwa siku moja tu tena watu wachache wakati wao wameshatekwa na kuuliwa mara nyingi kwa miaka mingi nyuma.Mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10( prisoners war ) wako mikononi mwa jeshi la Israel na wengine huko wanafanyiwa interlogation , Hamas kuendelea kung'ang'ania hao mateka wasiozidi 100 ni ujinga na kukata aibu, vita hiyo Hamas wamepata hasara kubwa sana, watu zaidi ya elfu 40 wamekufa, zaidi ya elfu 70 wameumia, Gaza imebaki Magofu. Nchi nzima imeharibika, Hamas wanashindwa nini kuachia mateka waliobaki ili Israel imalize vita? Israel alishasema endapo mateka wataachiwa siku hiyo hiyo vita inaisha. Kuendelea kuwashikilia mateka ni kuchochea vita na kumpa kiburi Israel aendelee kuua wapalestina. Umoja wa nchi za kiarabu una kazi gani? Jirani anateketea, hata kuita viongozi wa hamas, viongozi wa dini, wazee maarufu wa palestin ili kuwashauri, badala yake Wapalestina wanadanganywa na nchi ya mbali( Iran) ambayo inatumia Hamas kwa manufaa yake ya kisiasa na kidini . Wapalestina wanaishi Ulaya na Asia kila siku wanaandamana na mabango yao ya Israel is Killer, mara stop genocide in Gaza bila kusema hamas achia mateka ili vita viishe, kwa akili ya kawaida hakuna nchi ambayo unaweza kuivamia , kuua na kuteka watu halafu ikaomba negociation, kuvamia nchi na kuua watu tayari umetangaza vita hadharani.
Sasa kama hamas wapo vizuri si waendelee kupigana sio kutafuta hurumaUkizungumza sijui kama pia unawaza vizuri.Kwa sababu unalaumu Hamas kuteka na kuua kwa siku moja tu tena watu wachache wakati wao wameshatekwa na kuuliwa mara nyingi kwa miaka mingi nyuma.
Mpambavu ni wewe, hivi kwa akili yako unaona Israel atakubali nchi 2? Je mji wa Jerusalem itakuwa ni mali ya nani? Takwa la nchi 2 haiwezekani,na Israel hayuko tayari kwa hilo , hamas wanadai Israel arudi ulayaAcha upumbav watu wanataka uhuru wa Palestine sio kumalizia Vita .
Vita ukiisha bado mnatawaliwa c ni ujinga
Netanyahuu amesema hatosarenda kwa hamas atazidisha presha ya kivita dhidi ya hamas kwa hiyo tegemee kipigo kwa gaza mnafikiri kuua mateka ndio netanyahuu ataogopa maandamanoYule msemaji asiyechoka wa Hamas aitwaye Abu Ubeida amesema tangu mwezi Juni mwaka huu wamebadili mfumo wa kuwalinda mateka na kutoa maagizo hayo kwa wanaowalinda pindi askari wa Israel wanapokaribia kuwafikia.Hata hivyo hakutoa ufafanuzi wa mfumo huo.
Inakumbukwa mnamo mwezi Juni jeshi la Israel lilifanikiwa kuwaokoa mateka 4 katika moja ya tukio la kikatili la uokoaji ambapo raia zaidi ya 100 wa Palestina waliuliwa.
Hapo juzi jumla ya mateka 6 miongoni mwa mateka waliobaki Gaza walikutwa wakiwa wamekufa katika hali iliyoonesha kupigwa risasi.Baada ya jeshi la Israel kutoa tangazo hilo kumetokea maaandamano makubwa zaidi yakimtaka waziri mkuu wa nchi hiyo kufikia makubaliano na Hamas ili kusitisha vita.
Akizungumza kupitia televisheni baada ya maandamano kuwa makubwa na kutishia kuiathiri nchi zaidi kiuchumi kutokana na vyama vya wafanyakazi kutishia kufanya migomo, Netanyahu ameomba radhi kwa tukio hilo la kuuliwa kwa mateka hao,hata hivyo amerusha lawama kwa Hamas jambo ambalo waandamanaji wanapingana naye.
Kwa upande mwengine wachambuzi wa mwenendo wa vita vya Gaza wameweka wazi kuwa maelezo yanayotolewa na Marekani na lawama kwa Netanyahu hayaendani sawa na uzito wa hali ya vita na wala hakuna dalili ya kusaidia kumaliza vita hivyo kwa njia ya majadiliano ambayo mara kadhaa yamekuwa yakionekana kufikia mwisho huku Netanyahu akibadili hadidu rejea za makubaliano yaliyofikiwa inapokuja muda wa kutiliana saini.
Hivi karibuni kwa upande wao Hamas wamesema hawana haja tena na mazungumzo mapya ya kusitisha vita bila kutekelezwa yaliyoafikiwa kabla
Soma: LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
Hamas kwisha habari yao mzee!Wako wengi sana. Kweli utawamaliza kabla na wewe utadukuliwa kidogo kidogo.
Kwa nini hawataki kuachia mateka?Acha upumbav watu wanataka uhuru wa Palestine sio kumalizia Vita .
Vita ukiisha bado mnatawaliwa c ni ujinga