green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Kabisa mkuu Haya magaidi ya Kiyahudi lazima yauwawe kwanza yanaeneza ushogaMagaidi ya uwawe tu
All the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu Haya magaidi ya Kiyahudi lazima yauwawe kwanza yanaeneza ushogaMagaidi ya uwawe tu
All the best
Unajua maana ya Mateka wa Vita? Hamas wanataka Wafungwa wa kiharifu ambao wapo Jela yaani wauaji same kama Sinwar aliuwa waisrael zaidi ya wawili akafungwa jela pona yake ndio ile kubadilishana wafungwa waharifu zaidi ya elfu moja kwa IDF mmoja Gillard Sharit ndio maana Netanyahu hataki tena hilo kosa maana atazalisha kina sinwar wengi zaidi and kumbuka Ukiingia mkataba wowote na Shetani mbeleni lazima uje kujuta trust me.Mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10( prisoners war ) wako mikononi mwa jeshi la Israel na wengine huko wanafanyiwa interlogation , Hamas kuendelea kung'ang'ania hao mateka wasiozidi 100 ni ujinga na kukata aibu,
Hizo Idadi from Hamas wenyewe... na ni marufuku kutaja gunman wa hamas hata mmoja ndio maana wapumbavu Aljazeera wanawaita Hamas Wanawake na watoto. ukisikia news hizo tu ujue Hamas figher washadedishwa... Aljazeera imekuwa tv ya matapishi news zote uongo Taqiyyahvita hiyo Hamas wamepata hasara kubwa sana, watu zaidi ya elfu 40 wamekufa, zaidi ya elfu 70 wameumia,
Israel haipo hivyo Magodu ni sehemu chache tu Gaza eneo kubwa watu wanaishi kama kawaida uzushi wa vyombo vya kingese vya kiarabu vinajifanya victims tu Immagine wafe watu elfu 40 and sensa ya Gaza raia wapo 2.4M soukitoa hao 40,000 wa uongo mostly ni Hamas Fighter wanabaki 2,360,000 and Vita inaendelea kila siku wanazaliwa Watoto wa kutosha takwimu za kweli zikija kutoka utasikia Idadi ya Raia Gaza imeongozeka... Jamaa wanapigana miti balaa.. Even Mohamed Dief after tulisikia mkewe wa pili alijifungua mtoto mchanga..Gaza imebaki Magofu. Nchi nzima imeharibika,
Umoja wa Arabs hauwezi beba upumbavu wa Hamas, Kwanza ni Magaidi,Pili wamebeba agenda za Iran ambaye ni Shia.. Sunni hawaamini kuwa Mashia ni Waislam... and Hamas wameteka Mateka nje na Mafundisho ya Mtume wao,Wazee,Kina Mama, Watoto wadogo and then wanawaua.. Pia Waliwaua Mateka wasio na Hatia Waanzania, Damu ya Mtanzania haiendi bure kishabiki.Hamas wanashindwa nini kuachia mateka waliobaki ili Israel imalize vita? Israel alishasema endapo mateka wataachiwa siku hiyo hiyo vita inaisha. Kuendelea kuwashikilia mateka ni kuchochea vita na kumpa kiburi Israel aendelee kuua wapalestina. Umoja wa nchi za kiarabu una kazi gani?
Jirani anateketea, hata kuita viongozi wa hamas, viongozi wa dini, wazee maarufu wa palestin ili kuwashauri, badala yake Wapalestina wanadanganywa na nchi ya mbali( Iran) ambayo inatumia Hamas kwa manufaa yake ya kisiasa na kidini . Wapalestina wanaishi Ulaya na Asia kila siku wanaandamana na mabango yao ya Israel is Killer, mara stop genocide in Gaza bila kusema hamas achia mateka ili vita viishe, kwa akili ya kawaida hakuna nchi ambayo unaweza kuivamia , kuua na kuteka watu halafu ikaomba negociation, kuvamia nchi na kuua watu tayari umetangaza vita hadharani.