Hamas wasema wamebadili mfumo wa kuwalinda Mateka. Netanyahu aomba radhi

Mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 10( prisoners war ) wako mikononi mwa jeshi la Israel na wengine huko wanafanyiwa interlogation , Hamas kuendelea kung'ang'ania hao mateka wasiozidi 100 ni ujinga na kukata aibu,
Unajua maana ya Mateka wa Vita? Hamas wanataka Wafungwa wa kiharifu ambao wapo Jela yaani wauaji same kama Sinwar aliuwa waisrael zaidi ya wawili akafungwa jela pona yake ndio ile kubadilishana wafungwa waharifu zaidi ya elfu moja kwa IDF mmoja Gillard Sharit ndio maana Netanyahu hataki tena hilo kosa maana atazalisha kina sinwar wengi zaidi and kumbuka Ukiingia mkataba wowote na Shetani mbeleni lazima uje kujuta trust me.

Matka wa vita wapo wale waliohusika na October 7 wapo walikamatwa upande wa Israel na upande wa Gaza.. hao Hamas hata hawazungumzii. wao wana list zao kitambo ya wafungwa wanaowataka... So Usichanganye kitu.
vita hiyo Hamas wamepata hasara kubwa sana, watu zaidi ya elfu 40 wamekufa, zaidi ya elfu 70 wameumia,
Hizo Idadi from Hamas wenyewe... na ni marufuku kutaja gunman wa hamas hata mmoja ndio maana wapumbavu Aljazeera wanawaita Hamas Wanawake na watoto. ukisikia news hizo tu ujue Hamas figher washadedishwa... Aljazeera imekuwa tv ya matapishi news zote uongo Taqiyyah
Gaza imebaki Magofu. Nchi nzima imeharibika,
Israel haipo hivyo Magodu ni sehemu chache tu Gaza eneo kubwa watu wanaishi kama kawaida uzushi wa vyombo vya kingese vya kiarabu vinajifanya victims tu Immagine wafe watu elfu 40 and sensa ya Gaza raia wapo 2.4M soukitoa hao 40,000 wa uongo mostly ni Hamas Fighter wanabaki 2,360,000 and Vita inaendelea kila siku wanazaliwa Watoto wa kutosha takwimu za kweli zikija kutoka utasikia Idadi ya Raia Gaza imeongozeka... Jamaa wanapigana miti balaa.. Even Mohamed Dief after tulisikia mkewe wa pili alijifungua mtoto mchanga..
Umoja wa Arabs hauwezi beba upumbavu wa Hamas, Kwanza ni Magaidi,Pili wamebeba agenda za Iran ambaye ni Shia.. Sunni hawaamini kuwa Mashia ni Waislam... and Hamas wameteka Mateka nje na Mafundisho ya Mtume wao,Wazee,Kina Mama, Watoto wadogo and then wanawaua.. Pia Waliwaua Mateka wasio na Hatia Waanzania, Damu ya Mtanzania haiendi bure kishabiki.
 
Hawa jamaa wanasemaga FreePalestina kumbe wameshikilia mateka? Kwanini wasiimbe FreeHostages FreePalestina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…