Hamas watekeleza ahadi yao kuwa uvamizi wa Rafah hautakuwa kama piknik kwa jeshi la Israel

Bado mnawajaza hamas upepo ! Mnataka uzao wa palestinians uishe? Wapalestina kufa hamas atapata faida gani? Iran, Turkey , Egypt kama wana uwezo wapeleke jeshi pale Gaza.
Nanukuu: "Wapalestina kufa hamas atapata faida gani?"
HAMAS ni kundi la kigaidi. Na kama iliivyo kwa magaidi wote ; kutembeza ubabe ndo jadi yao.
Kwa mantiki hiyo, hoja yako iliyonukuliwa hapo juu inajibika kwamba; Faida iliyopo ni kwamba HAMAS Itaheshimika zaidi na kutambulika zaidi kuwa ni Mbabe miongoni mwa Wababe wa Dunia.
Kwamba eti Iran, Turkey , Egypt kama wana uwezo wapeleke jeshi pale Gaza.
Wangeliwekufanya hivyo kama wangelishirikishwa walau kutoa Ushauri katika kufanya maamuzi ya kitendo cha kizembe na cha kijinga cha 07 Okt.2023.
 
Bado mnawajaza hamas upepo ! Mnataka uzao wa palestinians uishe? Wapalestina kufa hamas atapata faida gani? Iran, Turkey , Egypt kama wana uwezo wapeleke jeshi pale Gaza.
Ngoja utaona matokeo
 
I guess ,..asilimia 90 ya maisha yako itakuwa ni unashindia kwenye vijiwe vya kahawa
 
Sasa kama Israel wanaua watoto si ndio kushindwa kwenyewe huko.
Mkuu; anayeshindwa ni yule (HAMAS)anayewaweka/anayewatanguliza mbele yake akina mama waliobeba watoto huku akijua wazi kwamba risasi haichagui.
 
hii vita si ya kushangiliA
BASI TU baadhi ya watu wa dini sana mna roho mbaya kinoma. hiyo siyo misimamo ya dini
unashangilia binadamu mwenzio akiteseka,kisa yupo upande mwingine
 
Israel alituambia week tatu tu itamaliza Gaza 😄 Hamasi ni wanaume aisay km 35 Gaza yote na Israel, US, Europe, India, Korea na wanafiki wa kiarabu wameshindwa kuwatoa Hamas hapo Gaza.

Israel alituambia week tatu tu itamaliza Gaza 😄

Hamasi ni wanaume aisay km 35 Gaza yote na Israel, US, Europe, India, Korea na wanafiki wa kiarabu wameshindwa kuwatoa Hamas hapo Gaza.
Wakiuwawa watoto mna lialia,wakati Hamas hawana kambi za kijeshi wanaishi na wake zao majumbani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…