Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Habari za karibuni kabisa zinasema uwanja mkuu wa ndege wa Israel wa Ben Gurion umepokea makombora kadhaa kutokea upande wa Gaza ikidhaniwa ni Hamas ndio walioyarusha.
Hapo juzi na mapema leo Houth nao walirusha makombora ya Balistic kutoka Yemen kuulenga uwanja huo huo na kusababisha vingora visikike nchi nzima huku jeshi la Israel likisema hayakuleta madhara yoyote.
Tayari msemaji wa Hamas amethibitisha kuwa wao ndio walioulenga uwanja huo unaotumiwa na viongozi wa Israel na wengine katika wasafiri wa kimataifa.
Kutoka Tel Aviv mpaka Gaza ni masafa maregu kiasi.Hivyo kombora lililotumika leo na Hamas itakuwa nia aina ya yale ya masafa marefu ambayo waliwahi kuyatumia mwanzoni mwa vita mwaka juzi.