hivi yule THAAD bado yupoHabari za karibuni kabisa zinasema uwanja mkuu wa ndege wa Israel wa Ben Gurion umepokea makombora kadhaa kutokea upande wa Gaza ikidhaniwa ni Hamas ndio walioyarusha.
Hapo juzi na mapema leo Houth nao walirusha makombora ya Balistic kutoka Yemen kuulenga uwanja huo huo na kusababisha vingora visikike nchi nzima huku jeshi la Israel likisema hayakuleta madhara yoyote.
Tayari msemaji wa Hamas amethibitisha kuwa wao ndio walioulenga uwanja huo unaotumiwa na viongozi wa Israel na wengine katika wasafiri wa kimataifa.
Kutoka Tel Aviv mpaka Gaza ni masafa maregu kiasi.Hivyo kombora lililotumika leo na Hamas itakuwa nia aina ya yale ya masafa marefu ambayo waliwahi kuyatumia mwanzoni mwa vita mwaka juzi.
Wapi zilipendwa izo ata Ukraine analia ichoicho michuma chuma yao Bei kubwa lkn aikupi Usalama.. IRAN ndio moto ilizuiya kila kitu Angani uko uko akuna kilichotua!!!!hivi yule THAAD bado yupo
eti michuma chuma..,nimecheka sanaWapi zilipendwa izo ata Ukraine analia ichoicho michuma chuma yao Bei kubwa lkn aikupi Usalama.. IRAN ndio moto ilizuiya kila kitu Angani uko uko akuna kilichotua!!!!
Zelensky siku moja baada ya kula kichapo aliwarudishia Ujerumani machuma yao ya tangu vita vya pili vya dunia na matusi juu.Wapi zilipendwa izo ata Ukraine analia ichoicho michuma chuma yao Bei kubwa lkn aikupi Usalama.. IRAN ndio moto ilizuiya kila kitu Angani uko uko akuna kilichotua!!!!
Kauli mbiu ya hamsa iwe ubaya ubwela.Habari za karibuni kabisa zinasema uwanja mkuu wa ndege wa Israel wa Ben Gurion umepokea makombora kadhaa kutokea upande wa Gaza ikidhaniwa ni Hamas ndio walioyarusha.
Hapo juzi na mapema leo Houth nao walirusha makombora ya Balistic kutoka Yemen kuulenga uwanja huo huo na kusababisha vingora visikike nchi nzima huku jeshi la Israel likisema hayakuleta madhara yoyote.
Tayari msemaji wa Hamas amethibitisha kuwa wao ndio walioulenga uwanja huo unaotumiwa na viongozi wa Israel na wengine katika wasafiri wa kimataifa.
Kutoka Tel Aviv mpaka Gaza ni masafa maregu kiasi.Hivyo kombora lililotumika leo na Hamas itakuwa nia aina ya yale ya masafa marefu ambayo waliwahi kuyatumia mwanzoni mwa vita mwaka juzi.
Kwa kweli tech za usa waarabu pale kuanzia saudia , baharain Quweit wanapigwa sana kitu kina tengenezwa kwa dollar 80m ila kwa usa watapigwa 1bWapi zilipendwa izo ata Ukraine analia ichoicho michuma chuma yao Bei kubwa lkn aikupi Usalama.. IRAN ndio moto ilizuiya kila kitu Angani uko uko akuna kilichotua!!!!