HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa.
Gaza yote imefanywa shamba.....na bado panapigwa, hata hao wananchi siku watarudi sijui wataanzia wapi maana pia mataifa ya waarabu yamewatelekeza, pia allah ambaye huwatuma kufanya maugaidi wao amewakimbia.
=============================

DOHA/GENEVA/CAIRO, June 12 (Reuters) - U.S. Secretary of State Antony Blinken said on Wednesday that Hamas had proposed numerous changes, some unworkable, to a U.S.-backed proposal for a ceasefire with Israel in Gaza, but that mediators were determined to close the gaps.

Mnataka Hamasi akubali masharti ya Israel kwa kusaidiwa na USA bora Hamasi kamatia hapo hapo Israel kisha kuwa hoi na US na Europe wanataka kumuokoa.

Jeshi la Israel wamechoka wengine wanakataa kuendelea na vita, wengine wanajiuwa. Wengine wanawatukana mpa moboss wao wamechoka na vita.

US na Israel wamebaki kuwauwa watoto, wamawake na kuvunja majumba wanadhani Hamasi watasurrender kumbe wanajitia aibu duniani Leo nchi nyingi zimeanza mdharau US yote sababu ya kusupport Israel.
 
Masharti waliyotoa HAMAS ni pamoja na Mayahudi kutoa majeshi yote GAZA siku ya kwanza tu ya makubaliano na pia siku hiyo hiyo waache kabisa vita na wao HAMAS wataanza kuwapa Mayahudi miili ya mateka waliokufa then wale wengine.Hapo Mmarekani kageuka Myahudi yeye ndo anaanza kupinga ! Wasiwasi wa HAMAS hayo makubaliano ni danganya toto ili waachie mateka ! Wakisha achia tu mateka Myahudi anarudi tena ! Hicho ndo HAMAS wana wasiwasi huo na wametaka guarantee toka Urusi China na Turkey iwapo wataachia mateka MAYAHUDI wasije rudi tena
Guarantee kwa wanaowaita makafiri au siyo why wasiitake hiyo Guarantee toka kwa waarabu wenzao. Sa hao 🇨🇳 🇷🇺 turkey 🇹🇷 wanaweza mfanya nn myahudi endapo hao magaidi wakichokoza nyuki.
 
Hamas wanajua wakiendelea na ujinga wao kuua watu hovyo ndio watapata pesa za ufadhili toka kwa mabwana zao wa Iran, ndio maana hawataki amani, kwao hawajali roho za wanawake na watoto wa kipalestina zinazopotea kila siku kwasababu ya ujinga wao.
 
engraving-of-umar-or-omar-c-584-ad-644-ad-one-of-the-most-powerful-and-influential-muslim-cali...jpg

Majeshi ya Waarabu na Dini yao mpya ya Uisilamu wakiongozwa na Khalif Omar kutoka Hejazi wakiuvamia Mji wa Jerusalem katika karne ya Saba.

Mtume wao aliwadanganya kuwa aliondokea Jerusalemu kwenda Mbingu ya saba kwa kutumia Punda mwenye mabawa.👇
scrasnow-al-buraq-glossary-term-image_900x600px.jpg
 
Haitakiwi kusitisha vita, moto uendelee. Hamas si wanajiweza, wawndelee tu atakayeshindwa atasalimu amri, hakuna mjadala.
Sawa mwambie US awache ujinga wa kwenda UN kwanza si alikuwa anataka vita visisimame awache viendelee tu.

Hamasi na Hezbullah twangeni hao US na Israel kufa lazima tutakufa tu hakuna ataye baki lakini usikubali mtu akudhalishe hata siku moja wacha America na UK, na wanao msaidia Israel wasaidie mpaa wachoke lazima Israel akubali haya.

Hakuna kusimamisha vita na kubadilishana matekwa mpa Israel akubali haya aijenge Gaza yeye na US na vibaraka wake warabu, atoe majeshi yake Gaza na aondoke kwenye mpaka wa Rafah bila hapo bora vita viendelee tu.
 

Attachments

  • warfareanalysis_1280x720_20240613_125238.mp4
    10.7 MB
Mkitaka kujua hamna akili mngejifunza kwa Yesu ambaye mnasema ni mungu wenu, alipigiliwa msalabani mnavyo dai kafa kwa ajili yenu, hamkuona kwamba mungu wenu alikuwa dhaifu kuliko hata Mungu wa Hamasi.

Yesu alishikwa na wayahudi sijui wanne tu wakampigilia msalabani.

We sa fananisha na Mungu wa waislam ambaye mnasema kaingia mtini hawasaidi Hamasi.

Hamasi kafungiwa border na kakatiwa maji, umeme, chakula, anapigana na Israel, America, UK, France, Germany, Canada, Australia, India, Ethopia, South Korea, Philippines, Morocco, Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia na kuna wale wabongo wasomi wa mifugo na kilimo 😄 na bado Hamasi wamemshindwa sa kama hakuna Allah upande wake, nani yupo hapo upande wa Hamasi.
Hii sindano ya moto,ngoja nimshikilie umuongeze nyingine!😂😂😂
 

Attachments

  • Ruxtone12_360x640_20240612_195142.mp4
    221.9 KB
View attachment 3016440
Majeshi ya Waarabu na Dini yao mpya ya Uisilamu wakiongozwa na Khalif Omar kutoka Hejazi wakiuvamia Mji wa Jerusalem katika karne ya Saba.

Mtume wao aliwadanganya kuwa aliondokea Jerusalemu kwenda Mbingu ya saba kwa kutumia Punda mwenye mabawa.
Haha fatilia story vizuri alienda watoa walio kuja vuruga uislam hapo.

Hizo story za kusema Mtume alipanda farasi ana mabawa we wachana nazo sio level yako, tafuta walimu wako wakikristo wakashindane na waislam kwenye debate ndio waje wawafahamisheni kanisani.

Kwani Mungu akitaka Farasi awe na mabawa atashindwa? Mkiambiwa ukristo ni sawa na maboga kichwani au debe tupu mnabisha
 
Mheshimiwa soil and crop scientist naona hujasoma vizuri nilichokiandika.Nimeandika hiviii, narudia tena HAMAS hwana silaha zaidi ya magobole yakuunga unga wakati Mayahudi wa kila aina ya silaha zikiwemo ndege makombora vifaru magari ya dereya bunduki za rashasha na kila aina ya silaha wanawapiga watu wasio kuwa na silaha wanajitetea wakipora silaha za mayahudi.Hapa unategemea nini ? Na kumbuka wapalestina wamefungiwa ndani wamezingirwa hawatoki hawana chakula hawana maji hospitali zote zimebomolewa na mayahudi .Kma mayahudi wangetaka vita ya balance basi waachie mipaka wazi tuone nani zaid !
Utazungumzijae mbinu wakati mmoja ana silaha na analetewa kila siku toka USA na nchi karibu zote za Ulaya ?? Hapa hakuna mbinu.Mbinu iliyopo ni ya HAMAS kuwanyan'ganya silaha Mayahudi ni kuwatandika nazo !!
Hii sio simba na Yanga huu mziki Mayahudi wanaujua na ndo maana wameomba msaada kwa mabwana zao wamerekani wamekuja kuwasaidia !
Na kama nilivoelezea mwanzo naona hujasoma vizuri HAMAS ni wapigania UHURU wanapewa jina la magaidi baas !
Ni kama vile ANC south Africa nao waliitwa chama cha magaidi wakakamatwa na kutiwa jela maisha Roben Island lakini leo ndo wanaiongoza nchi ya South Africa.Nadhani we baado mchanga hujui historia.Nenda kasome urudi hapa na akili.
 
HAMAS na wapelwstina wamefungwa mikono hawana silaha wanapigana na watu ambao kila siku wanapewa sllaha mpya zikiwemo ndege magari mabomu na risasi.
Hebu wote wapewe vitu hivo yaani kwa usawa halafu tuone Myahadi kama atasimama !
Mnaandika ujinga na upumbavu. Wewe umeshika bunduki mapanga na kila zana eti unaenda kupigana na mtu mwenye mikono mitupu ! Hiyo ni akili kweli ??
Wapeni silaha za kisasa HAMAS halafu ndo mseme upuuzi wenu
Sasa watawapea wapi huko mashimoni wanakojificha kama fuko. Netanyahu tembeza kipigo kwa hawa manyang'au wafwasi wa hallah
 
Niwakumbushe ambao hamfahamu.HAMAS wanapigania uhuru toka kwa wakoloni ambao ni MAYAHUDI.MAYAHUDI wamekalia eneo la Wapelestina toka 1967 wamewazingira wapalestina ili utoke au uingie lanima Myahudi ndo akubali.Wananyanyaswa kwa miaka mingi ardhi yao imetekwa na masetla wa kiyahudi ndo wanafanya shughuli za kiuchumi kwenye eneo la wapelestina na wapelestina wenyewe wamebaki kuwa vibarua katika ardhi yao . kila siku Myahudi anaweka na kujenga makazi yakekatika eneo la wapelestina , hawawezi kufanya chochote hapo ndipo HAMAS kajiandaa kupigana uhuru wao kwa sababu kwa mika mingi siasa imeshindwa kuwapa uhuru wao laniki sasa watapewa ! Kila taifa sasa limeamka linataka wapelestina wapewe nchi yao bila vikwazo vyovyote.Unadhani bila kujitoa mhanga hichi kitu kingewezekana ?? Hebu niambieni ni nchi gani Africa ambayo haikupigania uhuru wake na kumwaga damu ? Kenya kuna vita ya Mauamau, Hapa Tanganyika kina chief mkwawa Tabora kulikuwa na Mtemi Mirambo n.k.Lakini uhuru mara nyingi hauwezi kuja bila kumwaga damu.Hiyo damu ya wapelestina waliopotea haitoenda bure inakuja na matokeo chanya.Hatimae Palestina inaenda kuwa huru !
Hakuna ardhi ya mpalestina wapi we hata kwenye kitabu chenu uliona wapi ardhi ya wapalestina. Kwa akili zako za kawaida unataka taifa tukufu teule na bora kabisa lisiwe na eneo au kwa akili zako za madrasa mnako inamiana uneza sema eneo la israel lililotajwa na vitabu takatifu vyote likowapi
 
Mayahudi wanadai wana uwezo wa kuifuta Hamas na Palestina yao sasa si waifute tu ili Israel waishi kwa amani kama wanafikiri wanakosa kuishi kwa amani kwa sababu ya Hamas na Palestina kuliko kuangaika na mazungumzo? Watu wanasaidiwa na mataifa yote yaliyoendelea lakini wanashindwa kupambana na watu wanaopigana kwa mawe na manati! Sasa huo uteule wao upo wapi?
Wanapambana wapi au kujichanganya na raia ndio kupambana. Tuwaache israel taifa teule inyoshe mazombi ya mwamedi na allah
 
scrasnow-al-buraq-glossary-term-image_900x600px.jpg

Story kubwa kabisa ya uongo na uzushi
Muhammad aliwadanganya waumini wake ndio maana Netanyahu anataka kurekebisha.
 
HAMAS ni wapigania uhuru ! Wewe na hao Mayahudi ndo mnawaita magaidi.
Wapeni uhuru na silaha kama zenu then tuone sasa kati ya Mayahudi na Wapelestina nani zaidi ???
Mnapigana na watu amabao hawana silaha na mnawashindwa ! Je wakipewa , mtasimama kweli ???
Mbona una lia lia apo madrassa c uwapelekee silaha. Walivyoanza vita oct7 c walikua full mabunduki sasa wameyapeleka wapi
 
WatatolewA WAENDE WAPI? HAPO NI KWAO KAMA WALIVYO WAPALESTINA IWAPO NI WALE WALIOKUWA WANAITWA WAFILIST. WALE WAARABU WALIOENDA KUTAWALA SPAIN WAKIENEZA DINI KWA UPANGA WALIONDOLEWA NA WAKRISTU. SASA HAWA WAPALESTINA WALIWAPIGA LINI WAYAHUDI KURUDISHA NCHI YAO? WALITOKEA WAPI? MAANA WAARABU WENZAO WANAISHI UARABUNI NA WENGINE WALIWAFUKUZA WAAFRIKA WEUSI KUANZIA MISRI, MOROCCO NK WANAISHI HUKO NA WATU WEUSI WACHACHE WALIOBAKI
Mkuu nchi ya israel inapatikana wapi
 
Back
Top Bottom