HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

Mnataka Hamasi akubali masharti ya Israel kwa kusaidiwa na USA bora Hamasi kamatia hapo hapo Israel kisha kuwa hoi na US na Europe wanataka kumuokoa.

Jeshi la Israel wamechoka wengine wanakataa kuendelea na vita, wengine wanajiuwa. Wengine wanawatukana mpa moboss wao wamechoka na vita.

US na Israel wamebaki kuwauwa watoto, wamawake na kuvunja majumba wanadhani Hamasi watasurrender kumbe wanajitia aibu duniani Leo nchi nyingi zimeanza mdharau US yote sababu ya kusupport Israel.
 
Guarantee kwa wanaowaita makafiri au siyo why wasiitake hiyo Guarantee toka kwa waarabu wenzao. Sa hao 🇨🇳 🇷🇺 turkey 🇹🇷 wanaweza mfanya nn myahudi endapo hao magaidi wakichokoza nyuki.
 
Hamas wanajua wakiendelea na ujinga wao kuua watu hovyo ndio watapata pesa za ufadhili toka kwa mabwana zao wa Iran, ndio maana hawataki amani, kwao hawajali roho za wanawake na watoto wa kipalestina zinazopotea kila siku kwasababu ya ujinga wao.
 

Majeshi ya Waarabu na Dini yao mpya ya Uisilamu wakiongozwa na Khalif Omar kutoka Hejazi wakiuvamia Mji wa Jerusalem katika karne ya Saba.

Mtume wao aliwadanganya kuwa aliondokea Jerusalemu kwenda Mbingu ya saba kwa kutumia Punda mwenye mabawa.👇
 
Haitakiwi kusitisha vita, moto uendelee. Hamas si wanajiweza, wawndelee tu atakayeshindwa atasalimu amri, hakuna mjadala.
Sawa mwambie US awache ujinga wa kwenda UN kwanza si alikuwa anataka vita visisimame awache viendelee tu.

Hamasi na Hezbullah twangeni hao US na Israel kufa lazima tutakufa tu hakuna ataye baki lakini usikubali mtu akudhalishe hata siku moja wacha America na UK, na wanao msaidia Israel wasaidie mpaa wachoke lazima Israel akubali haya.

Hakuna kusimamisha vita na kubadilishana matekwa mpa Israel akubali haya aijenge Gaza yeye na US na vibaraka wake warabu, atoe majeshi yake Gaza na aondoke kwenye mpaka wa Rafah bila hapo bora vita viendelee tu.
 

Attachments

  • warfareanalysis_1280x720_20240613_125238.mp4
    10.7 MB
Hii sindano ya moto,ngoja nimshikilie umuongeze nyingine!😂😂😂
 

Attachments

  • Ruxtone12_360x640_20240612_195142.mp4
    221.9 KB
Haha fatilia story vizuri alienda watoa walio kuja vuruga uislam hapo.

Hizo story za kusema Mtume alipanda farasi ana mabawa we wachana nazo sio level yako, tafuta walimu wako wakikristo wakashindane na waislam kwenye debate ndio waje wawafahamisheni kanisani.

Kwani Mungu akitaka Farasi awe na mabawa atashindwa? Mkiambiwa ukristo ni sawa na maboga kichwani au debe tupu mnabisha
 
Mheshimiwa soil and crop scientist naona hujasoma vizuri nilichokiandika.Nimeandika hiviii, narudia tena HAMAS hwana silaha zaidi ya magobole yakuunga unga wakati Mayahudi wa kila aina ya silaha zikiwemo ndege makombora vifaru magari ya dereya bunduki za rashasha na kila aina ya silaha wanawapiga watu wasio kuwa na silaha wanajitetea wakipora silaha za mayahudi.Hapa unategemea nini ? Na kumbuka wapalestina wamefungiwa ndani wamezingirwa hawatoki hawana chakula hawana maji hospitali zote zimebomolewa na mayahudi .Kma mayahudi wangetaka vita ya balance basi waachie mipaka wazi tuone nani zaid !
Utazungumzijae mbinu wakati mmoja ana silaha na analetewa kila siku toka USA na nchi karibu zote za Ulaya ?? Hapa hakuna mbinu.Mbinu iliyopo ni ya HAMAS kuwanyan'ganya silaha Mayahudi ni kuwatandika nazo !!
Hii sio simba na Yanga huu mziki Mayahudi wanaujua na ndo maana wameomba msaada kwa mabwana zao wamerekani wamekuja kuwasaidia !
Na kama nilivoelezea mwanzo naona hujasoma vizuri HAMAS ni wapigania UHURU wanapewa jina la magaidi baas !
Ni kama vile ANC south Africa nao waliitwa chama cha magaidi wakakamatwa na kutiwa jela maisha Roben Island lakini leo ndo wanaiongoza nchi ya South Africa.Nadhani we baado mchanga hujui historia.Nenda kasome urudi hapa na akili.
 
Sasa watawapea wapi huko mashimoni wanakojificha kama fuko. Netanyahu tembeza kipigo kwa hawa manyang'au wafwasi wa hallah
 
Hakuna ardhi ya mpalestina wapi we hata kwenye kitabu chenu uliona wapi ardhi ya wapalestina. Kwa akili zako za kawaida unataka taifa tukufu teule na bora kabisa lisiwe na eneo au kwa akili zako za madrasa mnako inamiana uneza sema eneo la israel lililotajwa na vitabu takatifu vyote likowapi
 
Wanapambana wapi au kujichanganya na raia ndio kupambana. Tuwaache israel taifa teule inyoshe mazombi ya mwamedi na allah
 

Story kubwa kabisa ya uongo na uzushi
Muhammad aliwadanganya waumini wake ndio maana Netanyahu anataka kurekebisha.
 
Mbona una lia lia apo madrassa c uwapelekee silaha. Walivyoanza vita oct7 c walikua full mabunduki sasa wameyapeleka wapi
 
Mkuu nchi ya israel inapatikana wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…