HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

Kwani hujaona nimeambatanisha na andiko hapo?
Nawe nipe andiko popote linalo sema Allah ni Mungu wa Wapalestina au Waarabu.
 
Malaika GABRIEL ni Character iliyokopiwa kutoka kwenye Bible kama zilivyo Characters nyingi za kwenye Quruani.
Hebu tupe dalili wapi Paulo alipewa bibilia na Gabrieli kuandika JIBRIL pia si kosa sababu tulikuwa tu aongea kiswahili we ni mjinga tu huna jipya.

Yesu alikuja na Injili sio bibilia, Yesu hakuwahi hata kukutana na hao mashetani Paulo, Matthew, Luke, Mark na John 😄

Yesu hakuwahi kusali kanisani, Yesu hakuwahi kusema fateni ukristo ndio dini yake sa sijui akili zenu vipi mko tofauti na mafunzo ya Yesu.
 
Hebu tupe dalili wapi Paulo alipewa bibilia na Gabrieli kuandika JIBRIL pia si kosa sababu tulikuwa tu aongea kiswahili we ni mjinga tu huna jipya.
Kuruani ni Kitabu cha kukopi na kiliandikwa na Waarabu katika Karne ya Saba.

Uongo wenu unaanza kuanikwa.
 
Kwani hujaona nimeambatanisha na andiko hapo?
Nawe nipe andiko popote linalo sema Allah ni Mungu wa Wapalestina au Waarabu.
Allah ni Mungu wa ulimwengu wote sio warabu tu.
Kwani hujaona nimeambatanisha na andiko hapo?
Nawe nipe andiko popote linalo sema Allah ni Mungu wa Wapalestina au Waarabu.
We bwege nini wapi uliweka dalili acha uwongo mimi nakuwekea dalili, Nini maana ya Mungu[Allah]? Ni wa milele, muumba n.k Mwenyezi Mungu ndiye muumbaji wa kweli kwa sababu Mwenyezi Mungu ndiye pekee.

Jambo la kwanza ni kwamba, katika dini zingine, kuna Miungu ambayo ni ya uwongo. Jambo la pili ni kwamba Mwenyezi Mungu ni wa milele lakini dini nyingine zinasema kwamba baadhi ya Miungu wanaua baadhi ya Miungu. Jambo la tatu ni kwamba Mwenyezi Mungu si mtoto wa yeyote, lakini dini nyingine zinasema kuwa miungu ina wazazi. Jambo la nne ni kwamba hakuna mwenye nguvu za kupigana na Mwenyezi Mungu, lakini dini nyingine zinasema kwamba baadhi ya viumbe au mashetani wanapigana na Miungu. Natumaini umeelewa.
 

وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
........
Aya yako kwa kiswahili inasomeka kama hapo juu?
Katika hiyo aya kuna maswali kadhaa naomba unijibu.

1. Naomba uweke andiko ambalo Wayahudi walisema Uzeir ni mwana wa Mungu nje ya Qurani kwakuwa Wayahudi wanakataa kuwa hawamjui huyo Uzeir na hakuwahi kuwepo kwenye jamii yao.

2. Hao waliokufuru kabla ya Wayahudi na Wakristo kwa kuwaita Uzeir na Masihi ni Wana wa Mungu ni akina nani?
Naomba uwataje hapa.

3. Katika hiyo Aya, Allah anamwomba Mwenyezi Mungu awaangamize Wayahudi na Wakristo kwakuwa walisema Uzeir na Masihi ni Wana wana wa Mungu. Sasa huyo Allah ni nani?
Na ni kwanini asiseme atawaangamiza yeye?

4. Tokea Allah amwombe Mwenyezi Mungu ili awaangamize Wayahudi na Wakristo kwa kusema Uzeir na Masihi ni Wana wa Mungu hadi sasa ni takribani miaka 1500 imepita na Wayahudi na Wakristo bado wapo.
Hujiulizi kuwa maombi ya Allah kuwaangamiza Wayahudi na Wakristo hayajapokelewa na Mwenye Mungu?
Hivyo kutoa hitimisho kuwa Mwenyezi Mungu hamsikilizi Allah?
Je Allah ni nani?
Jitafakari na uchukue hatua.

Take Note.
Muhammadi anapotakiwa kusema anaambiwa "sema"
Kama hapa.

قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ

[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji
mwenye kudhihirisha wazi.

Ukiona hakuna neno "Sema" kwenye Qurani ujue anayeongea ni Allah.
 
Mungu wa Wayahudi alijitambulisha kama Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo.
Au MIMI NIKO AMBAYE NIKO.
Je Allahn naye anajitambulisha hivyo hivyo, kwa hayo majina?
Weka andiko la sivyo Allah ni Mungu Mwingine.

Kutoka (Exo) 3:6
Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.

Lete andiko
 
Niwakumbushe ambao hamfahamu.HAMAS wanapigania uhuru toka kwa wakoloni ambao ni MAYAHUDI.MAYAHUDI wamekalia eneo la Wapelestina toka 1967
Dogo umelishwa maneno ya juu juu au umeokoteza maliwato? unajua history au Madrassa kwa Sana? Saudia Arabia wamefuta masomo yote ya chuki dhidi ya Israel.. Wamerejesha kama ilivyokuwepo zamani asilia maana uongo ukizidi unakuwa kama kweli and kwa uongo huu unaifanya Quran kuwa kituko kureplace Israel na kuwa Palestina Quran inakuwa ni Takataka kama ilivyo now so.

There is no such thing called Palestine ilianzishwa na Roman katika utawala wao kuwachukiza wayahudi neno Palestine tafsiri yake ni Wahamiaji immigrant so how come Immigrant wahamie then wadai ni kwao yaani Wahindi au waarabu walioishi Africa waanze kuwatoa nduki Africans.

1967 UN walipiga kura kutengenisha maeneo ya Wayahudi na waarabu... After kura tu Arabs wakakataa wakasema wayahudi wote waondoke Arabs akaanzisha vita ya kuifuta Israel vita ikapigwa wakashindwa wao Kihistoria Allah amewapa ardhi wana wa Israel na Nabii Musa aliambiwa awaambie wana wa Israel waliondoke na wakichokozwa wapigane hadi kiama.. so eneo ki dini ,kihistoria ni Israel no mpuuzi anayeweza kulichukua so soma hapa uwe unajikumbusha wewe na sio Eti kusema tukumbuke Hamas anapigania uhuru dhidi ya wakoloni wao Israel
Hamas wapo Gaza and Gaza walipewa PA ya Arafat Hamas aliuwa Fatah wote tena kwa kuwaburuza na magari na wengine kuwarusha juu ya Nyumba.. they are human animal
Kila taifa sasa limeamka linataka wapelestina wapewe nchi yao bila vikwazo vyovyote.Unadhani bila kujitoa mhanga hichi kitu kingewezekana ??
Eti kila nchi? is it a Small Taqiyya?
Hebu niambieni ni nchi gani Africa ambayo haikupigania uhuru wake na kumwaga damu ?
Zipo nchi kibao tu na hadi ambazo hazikutawaliwa like Ethiopia and Liberia.. Ushasikia Malawi,Zambia, Tanzania wamepigania uhuru kwa kumwaga damu? dhidi ya Uingereza?
Israel ndio itakuwa huru dhidi ya animals
 
Haha dogo unanichekesha sana haya hizi hapa point.

2:133 “..We shall worship Thy Allah and the Allah of thy fathers, of Abraham, isma'il and Isaac,..”

2:136 “.."We believe in Allah, and the revelation given to us, and to Abraham, isma'il, Isaac, Jacob, and the Tribes..”

2:140 “..Or do ye say that Abraham, isma'il, Isaac, Jacob and the Tribes were Jews or Christians?..”

3:84 “.."We believe in Allah, and in what has been revealed to us and what was revealed to Abraham, isma'il, Isaac, Jacob, and the Tribes..”

Sa we jibu swali langu wapi dalili zenu Ibrahim na Ishaq na Yakobo walikuwa dini zao ni Wayahudi au Wakristo? Hamna na hamta jibu sababu Qur'an imewachallenge mtakimbia hapo
 
M Maandiko yanasema Mungu ni wa Ibrahimu Isaka ya Yakobo.
Hakuna Mungu wa Ishmaeli.

Mnadhubutuje kushindana na Mungu wa Israeli ?
Ndio maana Mataifa ya Kislamu yote yanashindwa vita kwa Israeli.
Hao Wapalestina ni Wafilisti walikuwa wanapigwa na Wayahudi toka enzi na enzi.
Kijana Myahudi Daudi alimpiga na kumwua Jemedali wa Palestina aliyeitwa Goliati.
Na bado mnachapwa hadi leo, hivi hamsomi historia ?
Halafu Wapalestina wakijua fika kabisa walikuwa wanapigwa na Wayahudi toka zamani kwakuwa hawamjui Mungu wa Israeli ambaye ndio Mungu halisi aliyejitambulisha kwa Wayahudi kabla ya Allah, kabla ya Uislamu na kabla ya Muhammadi.
Lakini bado tu wanatumia Hamasi kwa sasa kuwachokoza Isreli.
Someni historia acheni kumuiga mtume ummi ambaye hakupenda hata kujifunza kusoma na kuandika, wala kujiendeleza MEMKWA hakupenda

Someni historia ili mjue kuwa hamuwezi kumshinda Myahudi
Acheni kiburi mtaangamia,
Kama alivyo angamia Goliati.
 
Mkitaka kujua hamna akili mngejifunza kwa Yesu ambaye mnasema ni mungu wenu, alipigiliwa msalabani mnavyo dai kafa kwa ajili yenu, hamkuona kwamba mungu wenu alikuwa dhaifu kuliko hata Mungu wa Hamasi.
Soma Surat Mariam aya ya Kwanza.. Christ is my lord - Kaf ha ya sad kasome dini ewe fake muslim

Kama Unaona Jesus alikuwa Dhaifu Quran imeandika Allah anamuambia Mussa Akimbia maana Farao akimkuta atamuua na Mussa akashangaa na akasepa hadi akakutana na Maji njia hamna Allah nae alikuwa Dhaifu hawezi kusaidia?

Yesu alishikwa na wayahudi sijui wanne tu wakampigilia msalabani.
Hii ilitabiriwa kama asinge panga isingeweza kutokea... Muslim si mnaamini kila kitu anapanga Allah Inshallah au wewe ni fake Muslim sababu
We sa fananisha na Mungu wa waislam ambaye mnasema kaingia mtini hawasaidi Hamasi.

Hamasi kafungiwa border na kakatiwa maji, umeme,
Umeme wa nani ?
Hao unaowataja ndio wanawasaidia Hamas kwa namna moja au nyingine...

Hata ingekuwa Tanzania Tunapigana na Zanzibar kisha tunawapa umeme maji,chakula na kuwaacha wajifiche kona zote zenye raia huku wakifyatua mizinga na risasi hutataweza shinda hiyo vita hata kama zanzibar nchi inayoshika record ya kupigwa kivita na Uingereza vya muda mfupi kuwahi rekodiwa Duniani
 
We kicha kweli sini eweka mandiko huko yanaongelea kuhusu Ismai?

Haya soma hi kama hujaona huko au unajidai huelewi


What is the verse 2 133 in the Quran?
Behold, he said to his sons: "What will ye worship after me?" They said: "We shall worship Thy god and the god of thy fathers, of Abraham, Isma'il and Isaac,- the one (True) Allah: To Him we bow (in Islam)."
 

Ni huyo Allah anaye mswalia mtume au mwingine.
Hivi Ilikuwaje Allah
Anaswali hii swala ?

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 1)
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.


الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ

(AL-FAATIH'A - 2)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 3)
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;

إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ

(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ

(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,

صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ

(AL-FAATIH'A - 7)
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

{ Au unataka kutuambia hayo maneno anatamka Muhammadi?}

Tuambie ni akina nani wanaswali hapo ?
 
Octoba 7 walitumia silaha gani?? Kenge kabisa ngoja mteketezwe
 

Aya original inayosemwa he said to his sons: ipo wapi ?
Hapo Muhamadi alichomoa jina la Isaka na kuweka jina la Ishmael kama kawaida yake.
Haya nimekuwakea hapo juu surat Fatha tuambie hayo maneno anaongea Allah au Muhammadi.?

Janjanja yake inaanza kujulikana
 
Hio ni Surat Fateha hio unaomba Mungu akuepushe na mashetani kama nyie wanao sema binadamu ni Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…