Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kuonesha kuwa Hamas vita vyao ni baina ya Palestina na Israel imeendelea kuwaachia mateka ilionao ambao ni raia wa mataifa mengine bure kabisa. Hii inaonekana kuwakamata kwao ilikuwa ni kwa bahati mbaya tu.
Hapo jana raia 10 wa Thailand na mfilipino mmoja waliachiwa kwa mshtuko wa wengi pamoja na waisrael wanawake na watoto 13 kwa kubadililishana na wafungwa 39 wa kipalestina kwenye magereza ya Israel
Leo kabla ya ukorofi ulioletwa na Israel ,Hamas wamepanga kuwaachia mateka 13 wa Israel na raia wa kigeni karibu 20 kwa mabadilishano na idadi ile ile ya wapalestina 39 kwenye magereza hayo.
Kwa hali inavyokwenda inaonesha Hamas ina mateka wengi kuliko wanaojulikan na Israel na wako ambao Israel ilikwishatanga wamefariki miongoni mwa raia wake lakini jana ghafla mmoja akatoka akiwa hai na kurudishwa kwa watu wake huko Israel.