Hamas yaishutumu Israel kukataa kusitisha Mapigano

Kumbe Maskini Hamas wenyewe wala hawataki Vita ni sisi tu tunaowalazimisha. Ni sisi tu tunaelewa uwezo wao ulivyo mkubwa wao wenyewe wameshachoka hayo maisha.

View attachment 3077713


View attachment 3077708
Msihamishe magoli !
Kwa sasa mada kuu ni Wamasai na Ngorongoro yao !
Haya mambo ya Hamas na Netanyahu hayatuhusu !
After all wale ni ndugu watoto wa Baba mmoja !
Wanandugu wakigombana shika jembe ukalime !

Au nasema uongo ndugu zanguni ??! 🙌🙏
 

Israel apunguze kidogo makali
Serikali isiwapuuze Wamasai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…