Hamas yasema hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai bila matakwa yao kutimizwa

Hamas yasema hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai bila matakwa yao kutimizwa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Israel imechagua kupigana na kundi ambalo lina hamas za vita hawajapata kufikiria.

Kundi la Hamas limetoa ahadhi kuwa katika juhudi za Israel kutaka kuwaokoa mateka waliobaki basi ijue kuwa hakuna mateka hata mmoja atakayeokolewa na kuondoka akiwa hai.

Mfano halisi ni kijana Sahar Baruch, 25, aliyekufa hapo jana wakati Israel ilipojaribu kumuokoa na Israel kutangaza kuwa jaribio la kumuokoa mateka huyo lilishindikana.

Katika taarifa yao Hamas haikuweza wazi iwapo kila mateka aliyebaki amefungwa miripuko mwilini au watazuia kushikwa na kuondoka kwa njia ya mapigano peke yake.

Ahadi hiyo ya Hamas imeambatanishwa na sharti kwamba ikiwa Israel inataka iwapate mateka waliobaki basi ni lazima watimize masharti ya Hamas ambayo ni uhuru wa Palestina na kuachiwa kwa mateka wote walioko kwenye magereza ya Israel pamoja na kusitishwa vita.

Nguvu hiyo ya Hamas imetoka siku moja na katuli ya kuungwa mkono harakati zao na waziri mkuu wa mamlaka ya Palestina chini ya chama cha Fatah kilichoasisiwa na Yasser Arafat.
 
Halafu uzuri wenyewe kila siku mateka wanaongezeka.
1702306447520.jpg
 
Back
Top Bottom