Hamas Yatishia kuwachinja Mateka Waisraeli huku wakiwaonyesha kwenye Kamera!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Hamas Yatishia Kuwachinja Mateka Waisraeli kwenye Kamera

Katika taarifa yake ya kusikitisha leo, msemaji wa Hamas Abu Ubaida alitangaza kwamba Hamas iko "tayari ya hali ya juu" kwa uwezekano wa IDF kuingia katika mji wa Gaza - na kutoa tishio la moja kwa moja dhidi ya mateka wa Israel ambao bado wanashikiliwa na kundi hilo.

"Tunatangaza kwamba tutahifadhi mateka wote wa Israeli - lakini ikiwa wako katika eneo la mapigano, tutawaua, tutaipiga picha na kuziweka mtandaoni kila wakati."

Hili ni tishio la umma kwa mauaji ya raia walioko kifungoni - ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na uhalifu wa kivita.

Vitisho hivyo sio tu vinathibitisha ukatili wa mbinu za Hamas lakini pia vinafichua hitaji la dharura la kuwakomboa mateka wa mwisho na kubomoa miundombinu ya ugaidi inayowezesha uhalifu huu. ndege JOHN unaweza kuwapenda Monsters kama hawa??????

IMG_4012.jpeg
 
Israel apunguze kidogo utu... October 7 hamas wangeivamia Russia tungekuwa tumesha sahau hii habari.

Navyomjua Putin angesema neno moja tu "I don't negotiate with the terrorists" kifuatacho dunia ingebaki mdomo wazi. DUNIA NZIMA INAJUA ALICHOKUWA ANAWAFANYIA WAASI KULE ALEPPO SYRIA
 
Na hilo ndiyo linapaswa kufanyiwa na Israel/IDF.Kutokuwa na huruma wala maongezi na magaidi.Wanachofanya hao magaidi ni kuvuta muda kwa kutoa madai magumu kwa kutumia kinga ya mateka wa Israel.Huruma na kusikiliza ujingaujinga viwekwe mbali.
 
Hao mateka wanaisaidia nini hamas?
Ujinga unatunza watu halafu watu wa jamii yako wana kufa kwa njaa.

Mateka wawe hai au wamekufa Israel haijali kitu, adhima yake ni kuwaondoa hamas Gaza na siyo kukomboa mateka.
 
Na hilo ndiyo linapaswa kufanyiwa na Israel/IDF.Kutokuwa na huruma wala maongezi na magaidi.Wanachofanya hao magaidi ni kuvuta muda kwa kutoa madai magumu kwa kutumia kinga ya mateka wa Israel.Huruma na kusikiliza ujingaujinga viwekwe mbali.
Sahihi kabsa! Pale gaza panatakiwa kusafishwa ibaki history tu. Unapambana na mijitu iko chini ya ardhi kwenye makazi ya watu.....wakiibuka juu wamevaa madela kuja ku foleni kwenye msaada wa chakula halafu yanajiona majanja
 
Wawachinje tu hao mateka maana hawana faida yoyote
 
Israel apunguze kidogo utu... October 7 hamas wangeivamia Russia tungekuwa tumesha sahau hii habari.

Navyomjua Putin angesema neno moja tu "I don't negotiate with the terrorists" kifuatacho dunia ingebaki mdomo wazi. DUNIA NZIMA INAJUA ALICHOKUWA ANAWAFANYIA WAASI KULE ALEPPO SYRIA
Kwanini hajawafanya waukraine hivyo ?
 
Sahihi kabsa! Pale gaza panatakiwa kusafishwa ibaki history tu. Unapambana na mijitu iko chini ya ardhi kwenye makazi ya watu.....wakiibuka juu wamevaa madela kuja ku foleni kwenye msaada wa chakula halafu yanajiona majanja
Wewe umewahi kuvaa dela ?
 
Operation ya IDF kuichukua Gaza kikamilifu inategemea kuchukua muda gani?
 
Mbona kama wamechelewa kuchukua hizo hatua. Haiwezekani israeli ana ua na ku starve hundreds of gaza citizen bila kijali sheria za kimataifa, Hamas bado wana babysit to hao mateka
 
Hamas Yatishia Kuwachinja Mateka Waisraeli kwenye Kamera

Katika taarifa yake ya kusikitisha leo, msemaji wa Hamas Abu Ubaida alitangaza kwamba Hamas iko "tayari ya hali ya juu" kwa uwezekano wa IDF kuingia katika mji wa Gaza - na kutoa tishio la moja kwa moja dhidi ya mateka wa Israel ambao bado wanashikiliwa na kundi hilo.

"Tunatangaza kwamba tutahifadhi mateka wote wa Israeli - lakini ikiwa wako katika eneo la mapigano, tutawaua, tutaipiga picha na kuziweka mtandaoni kila wakati."

Hili ni tishio la umma kwa mauaji ya raia walioko kifungoni - ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na uhalifu wa kivita.

Vitisho hivyo sio tu vinathibitisha ukatili wa mbinu za Hamas lakini pia vinafichua hitaji la dharura la kuwakomboa mateka wa mwisho na kubomoa miundombinu ya ugaidi inayowezesha uhalifu huu. ndege JOHN unaweza kuwapenda Monsters kama hawa??????

Sawa Zumaridi ila Wanaume wa Hamas sio makatili kama mashoga zako kina NETANYAHU, nyie mnaua watoto, wanawake, wagonjwa , mnawaua watu wenye njaaa just for fun, halafu mkirudi makwenu mnakwenda kujiua
 
Back
Top Bottom