Hii inaonyesha kuwa kuna maeneo Israel akiingia ni kama kujitoa muanga. Inaelekea wapo pembeni pembeni na kinachowasaidia kuonekana wapo ni kwasababu ya mashambulizi ya kutumia ndegeAl Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians)
Video inafuata
Jidanganye na endelea kudanganywa ktk ibada za j2Sasa si wanaishi mashimoni?
Hamas ni nusu wafu
Ugaidi kwa mujibu wa akili yako nini au umekaririshwa tuHivi unaelewa kuwa magaidi yamevaa kiraia?
Vita na magaidi ni ngumu sana.
Gaza kuanzia watoto na wanawake ni magaidi, ukiwaua wanapiga picha na kutuma UN kuwa watoto na wanawake wanauawa kumbe yote magaidi.
Ugaidi kwa mujibu wa akili yako nini au umekaririshwaHivi unaelewa kuwa magaidi yamevaa kiraia?
Vita na magaidi ni ngumu sana.
Gaza kuanzia watoto na wanawake ni magaidi, ukiwaua wanapiga picha na kutuma UN kuwa watoto na wanawake wanauawa kumbe yote magaidi.
ONa hili gaidiUgaidi kwa mujibu wa akili yako nini au umekaririshwa
Wewe hata Gobole hujashija unajua hili.Hakuna vita mbaya ya kupigamiwa kwenu...hapo walishachorwa kote njia waliotumia na walipokwepo...utashangaa wakidakwa mmoja baada ya mwingine. Drone zisizoonekana yameshchukua picha zote. Kazi wanayo.
Utadhani makamanda wa chadema wale?Hakuna vita mbaya ya kupigamiwa kwenu...hapo walishachorwa kote njia waliotumia na walipokwepo...utashangaa wakidakwa mmoja baada ya mwingine. Drone zisizoonekana yameshchukua picha zote. Kazi wanayo.
Sikushangai. Hata Afrika Kusini watu weusi wote wwliitwa magaidi na wazungu.Hivi unaelewa kuwa magaidi yamevaa kiraia?
Vita na magaidi ni ngumu sana.
Gaza kuanzia watoto na wanawake ni magaidi, ukiwaua wanapiga picha na kutuma UN kuwa watoto na wanawake wanauawa kumbe yote magaidi.
Israeli mpaka sasa imeshindwa vita na hamasMalengo Yapo Matatu 1 kuliangamiza kabisa Kundi la Hamas lisiwepo Duniani [2] Kurudisha Mateka Wote walio tekwa [3]Gaza iwe Sehem Salama Kwa Usalama Wa Israel na Eneo Zima Na Malengo hayo Uwezo Upo hakuna Wa kuzuia ,
Hii ni kali kweli na ushindi mkubwa kwa Hamas ndio maana siku ya tatu Israel ya makabidhiano haya Israel ikaamua kuzima intaneti yote kaskazini ya Gaza.Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians)
Juzi na jana makabidhiano yalikua kusini mwa gaza lkn leo kaskazini mwa gaza ambapo dunia yote inashangaa . Isreal inapiga misikiti , makanisa , shule huku Hamas wakiwaua mamia ya majeshi
Video inafuata
View: https://x.com/WarMonitors/status/1728833755404730821?s=20