Hamas yawakabidhi mateka Kaskazini mwa Gaza ambapo majeshi ya Isreal yadai yameuteka. Isreal washangaa yanayotokea

Hamas yawakabidhi mateka Kaskazini mwa Gaza ambapo majeshi ya Isreal yadai yameuteka. Isreal washangaa yanayotokea

Malengo Yapo Matatu 1 kuliangamiza kabisa Kundi la Hamas lisiwepo Duniani [2] Kurudisha Mateka Wote walio tekwa [3]Gaza iwe Sehem Salama Kwa Usalama Wa Israel na Eneo Zima Na Malengo hayo Uwezo Upo hakuna Wa kuzuia ,
Wameshindwa kwa miaka 70 kufikia hayo malengo hadi kuaibika kukaa meza moja na hao magaidi kufanya majadiliano na kubadilishana mateka, hawana uwezo huo porojo tu
 
Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians)

Juzi na jana makabidhiano yalikua kusini mwa gaza lkn leo kaskazini mwa gaza ambapo dunia yote inashangaa . Isreal inapiga misikiti , makanisa , shule huku Hamas wakiwaua mamia ya majeshi
Video inafuata

View: https://x.com/WarMonitors/status/1728833755404730821?s=20

Walijua vita ikiendelea kwa siku chache mateka watafikiwa so wakaona waombe poo... msisitizo wa kuachia ulianza mapema mno walipokuwa wanaanzwa kukaribiwa
 
Walijua vita ikiendelea kwa siku chache mateka watafikiwa so wakaona waombe poo... msisitizo wa kuachia ulianza mapema mno walipokuwa wanaanzwa kukaribiwa
Walsema mahandaki yote wameyabomoa.Basi si wangepata hata mmoja wakambeba mabegani na kupiga picha naye.
 
Wameshindwa kwa miaka 70 kufikia hayo malengo hadi kuaibika kukaa meza moja na hao magaidi kufanya majadiliano na kubadilishana mateka, hawana uwezo huo porojo tu
Please toa hilo neno magaidi, Hamas hawastaili kabisa kuitwa magaidi. Watu wanaopambania uhuru wa taifa lao wanastali kuitwa mashujaa. Hamas mapambano yao hawayaendeshi nje ya Palestine kwahiyo hawawezi kuwa magaigi
 
yes ni freedom fighters
 
Back
Top Bottom