HAMASA KUBWA YA WANANCHI KUJIANDIKISHA, PONGEZI ZIENDE KWA RAIS SAMIA
Nchi inayoongozwa katika misingi ya kidemokrasia inaamini kuwa kielelezo cha kwanza cha Demokrasia ni haki ya kuamua, yaani kuchagua au kuchaguliwa.
Katika kuiishi imani hiyo, serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Wizara ya TAMISEMI chini ya waziri mwenye dhamana Mhe. Mohamed Mchengerwa imeongeza idadi ya vituo vya kujiandikisha kutoka 37,814 mwaka 2019 hadi vituo 40,126 mwaka 2024 ikiwa ni sawa na ongezeko la vituo 2,312.
Ongezeko hili limechochea kuongezeka kwa hamasa ya wananchi kujiandikisha kwani vituo vimesogezwa karibu na makazi au biashara zao na muda wa kusimama kwenye foleni kusubiri kujiandikisha umepungua kwa kiasi kikubwa.
Soma Pia:
Tufuatilie zaidi kupitia kurasa zetu @kamusi_halisi
#KamusiYaMaendeleo

- Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
- Waziri Mchengerwa afafanua kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024