GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Topic: Ahmed Ali, comments: Yanga, Yanga, Yanga
My take
Kile kipigo kitakatitfu kimeacha wagonjwa wa akili wengi mtaani
Sijaona bango la mzunguko ticket sold out Ila nimeona bango la mzunguko free entrance.Ni sold out kabisa tena iliyo break na rekodi
Siku ambayo wsnatangaza bei za viingilio, punde tu baada ya press kuisha na tiketi zote zikawa sold
🐸🐸 Wanaendelea betting ya buku 2 wapate hela ya kuwapeleka kwa MadibaHii si habari nzuri Utopoloni
Ndio sold out yenyewe hiyoSijaona bango la mzunguko ticket sold out Ila nimeona bango la mzunguko free entrance.
Sasa sijui ukweli ni upi?
Huyu waziri wa michezo simuelewi! Jamanieer, Mwenye pasipoti ya sauzi aniuzie. Bei yoyoteSio kwamba wamelipiwa na mwarabu? 🤣🤣🤣
Mwenye tiketi za tanzanite, nataka mbili. Kila moja natoa 1m cash. Pesa ipo mfuko wa shati.Hii inadhihirisha wazi kuwa mashabiki wa Simba sio kina pangu pakavu tia mchuzi.
Tunajitambua, Simba nguvu moja.
View attachment 2942649View attachment 2942650View attachment 2942652
Hakuna walanguzi Simba we Changamkia tiketi za mzunguko kabla hajawa sold outM
Mwenye tiketi za tanzanite, nataka mbili. Kila moja natoa 1m cash. Pesa ipo mfuko wa shati.
We ni mbumbumbu namba ngapi?Walitestiwa kwa kupakwa bleach, kuna siku watapakwa mafuta hao
Aba yellow 💪Masandawana!
Bwana harusi, ndo nn kutonipa tender ya u MC?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji1787] Sipati picha kama Kabwili angekuwa bado yuko Yanga na Kabwili Day ikafika. Sijui wangefanywa nini tu hawa Wenyeuchi (sorry, Wananchi) wa Yanga?
Nani kasema nimeoa nipo singo🤣🤣🤣🤣Bwana harusi, ndo nn kutonipa tender ya u MC?
Vibaya hivyo mwana lunyasi, ila tisha sana na masandawana jezii [emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe umekwisha lipiwa?We ni mbumbumbu namba ngapi?
Siku ya Aziz Ki walipakwa mafuta na kutembea mapaja nje nje.Walitestiwa kwa kupakwa bleach, kuna siku watapakwa mafuta hao