Hamasa za Ahmed Ally kwa mashabiki sio za kitoto

Hamasa za Ahmed Ally kwa mashabiki sio za kitoto

Topic: Ahmed Ali, comments: Yanga, Yanga, Yanga
My take
Kile kipigo kitakatitfu kimeacha wagonjwa wa akili wengi mtaani
1000026024.jpg
1000016902.jpg
1000027660.jpg
 
Ni sold out kabisa tena iliyo break na rekodi

Siku ambayo wsnatangaza bei za viingilio, punde tu baada ya press kuisha na tiketi zote zikawa sold
Sijaona bango la mzunguko ticket sold out Ila nimeona bango la mzunguko free entrance.

Sasa sijui ukweli ni upi?
 
Nimeota simba itapigwa mkono. Niwatahadhirishe kolo tu kwamba, mimi ndoto zangu siyo za kifalafala; jamani eee simba atakufa kifo kibaya.

Ila yanga hana ubaya, yeye ni kanyaga twende hadi kubeba ndoo ya cafcl
 
Bwana harusi, ndo nn kutonipa tender ya u MC?
Vibaya hivyo mwana lunyasi, ila tisha sana na masandawana jezii [emoji91][emoji91][emoji91]
Nani kasema nimeoa nipo singo🤣🤣🤣🤣

UBUNTU BOTHO
 
Back
Top Bottom