DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini Hamida Mohamed Abdallah leo Juni 30,2025 amechukua fomu kuwania tena ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini.
Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini Mohamed Lawa.
Hamida amesema bado anayo dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi wa jimbo la Lindi mjini katika kuendeleza mipango mizuri ya kuwaletea maendeleo ambayo imefanyika pia katika kipindi cha miaka 5.