Hamidu H. Bisanga is dead

Hamidu H. Bisanga is dead

Boney E.M.

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2007
Posts
425
Reaction score
36
Dear JF members,

We have received shocking news this morning that Mr Hamidu H. Bisanga, an all time Journalist employed at Bayport Company was involved in a fatal car accident last night at Break Point- Kijitonyama. he has also worked for the National Development Corporation before moving to Bayport. His body lies at Mwananyamala mortuary. More news to follow pertaining to funeral arrangements. May the Almighy God rest his soul in eternal peace. Amen.
 
RIP Hamidu Bisanga, sote tupo njiani ingawa hakuna ajuaye ataishiaje!
 
Poleni sana wanandugu tuko pamoja kwa kipindi hiki kigumu
 
RIP Bisanga, nasi tuko nyuma yako, siku na saa ndio hatujui. Pia namuomba Mola awape nguvu, hekima na ustahimilivu wafiwa katika kipindi hiki na baada ya mazishi.
 
...RIP Journalist Hamidu Bisanga. One of the Finest.
 
R.I.P Bisanga pole sana wafiwa tupo pamoja katika kipindi kigumu hiki.
 
2_156.gif


2:156. Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.


(Wale ambao kwamba yanapo wateremkia machungu ya kuwaumiza wanaamini ya kuwa hakika kheri yote na shari inatokana na mwenyewe Mwenyezi Mungu, na ya kwamba amri yote ni ya Mwenyezi Mungu. Hao husema: Sisi ni milki ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, na sisi ni wenye kurejea kwake Yeye. Sisi hatuna letu jambo lolote. Na Yeye ni mwenye kustahiki kushukuriwa kwa anacho toa, na juu yetu kusubiri wakati wa kujaribiwa, na kwake Yeye ndiyo zipo thawabu na malipo.)
 
I am deeply saddened. Hamidu was a very close friend. May his soul rest in peace. Amen.
 
R.I.P Hamidu. Inaumwa kuondokewa na dedicated Journalist, tunaoamini ni vioo vya jamii.
 
Back
Top Bottom